• Nairobi
  • Last Updated May 21st, 2024 8:55 PM
Mwanamume avua nguo na kujitia kitanzi baada ya kugombana na mkewe

Mwanamume avua nguo na kujitia kitanzi baada ya kugombana na mkewe

Na FLORAH KOECH

WAKAZI wa kijiji cha Chemogoch, Eldama Ravine, Kaunti ya Baringo wameshangazwa na kisa cha mwanaume mmoja aliyevua nguo zote kabla ya kujitia kitanzi katika shamba lake baada ya kugombana na mkewe.

Kulingana na maafisa wa usalama na chifu wa eneo hilo, Patrick Rono, 34, baba ya watoto watatu alifika nyumbani kutoka sokoni na kupata mkewe ametoroka kitendo ambacho inashukiwa kilimfanya kujiua.

  • Tags

You can share this post!

Wafuasi wa Arati watishia kuandamana kulalamikia masaibu...

Wasiwasi tanki la petroli likifuka moshi usiku katika kituo...

T L