Habari Mseto

Wanaswa na bidhaa za mamilioni wakikwepa ushuru

November 15th, 2020 Kusoma ni dakika: 1

DENNIS LUBANGA NA FAUSTINE NGILA

Washukiwa saba walifikishwa kortini Busia kwa kupatikana na bidhaa ambazo hazijalipiwa ushuru zenye thamnai ya 24 milioni.

Washukiwa hao  walifika mbele ya hakimu mkuuwa  Busia Patrick Olengo. Bidhaa hizo zilikuwa mifuko 7,000 ya sukari ambayo ilikuwa ikiingizwa nchini kutoka Uganda.

Maafisa wa tume ya kutoza ushuru[KRA] walijulishwa kuhusu  shunguli hiyo haram una kuwasaka washukiwa hao nyumbani kwao Sikata Bungoma.

Korti iliambiw kwamba washukiwa hao Pamoja na wengine ambao hawakuwa hapo kortini walifika kwenye mapaka wa Malba Oktoba 24 wakiwa na malori manane ambaye yalipatikana kuwa yalikuwa yamejazwa bidhaa ambazo hazikuwa zimelipiwa ushuru kutoka Uganda.

Wshukiwa hao walikana mashatka hayo na wote wakaachiliwa kwa dhamana ya 150,000 kila mtu.

Kesi hiyo itasikizwa tena Machi 24.

Mwendeshaji wa Mercy Njunguna alisema kwamba biashara haramu zisizolipa ushuru huwa zinanyima serikali haki yake.KRA’s Western Regional Coordinator Mercy Njuguna said illegitimate trade deny the government its fair share of revenue.

Tume ya lkutoza ushuru KRA inaendelea kuengeza uchunguzi mipakani ili kupunguza bisahar haramu nchini,’alisema Bi Njunguna.