• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Kaunti yaonya vilabu ikivitaka vipunguze kelele

NA MAUREEN ONGALA SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na...

Raila na Ruto wazidi kulisha Wakenya ahadi hewa

NA PETER MBURU WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha...

Wanaodandia vinara wakuu

Na LEONARD ONYANGO HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa...

Waliomrarua Raila sasa wamnyenyekea

Na BENSON MATHEKA Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Raila Odinga atangaza rasmi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,...

JUMA NAMLOLA: Ni kazi bure kuahidi kuimarisha uchumi bila kudhibiti ufisadi

NA JUMA NAMLOLA WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia...

Rais Odinga: Mwanzo mpya au ahadi hewa?

NA WANDERI KAMAU JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa...

Hofu kuu ya Ruto ni kuibiwa kura 2022

NA BENSON MATHEKA Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao....

Vyama vidogo vinachochea chuki na ukabila, Ruto adai

NA KIPKOECH CHEPKWONY NAIBU Rais Dkt William Ruto Jumatatu amewataka wapinzani wake, akiwemo kinara wa ODM Raila Odinga, kukataa kuungana...

Raila na Ruto wachuuza asali chungu

NA PAUL WAFULA AHADI za kuimarisha uchumi zinazotolewa na Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga zitaongeza matatizo ya...

Kiunjuri aonekana kuasi Ruto na kujiunga na ‘Baba’

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa zamani wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonyesha dalili za kuunga mkono ndoto ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya...

Wafalme wa kuhadaa vijana

Na LEONARD ONYANGO WANASIASA sasa wanatumia ahadi hewa kama chambo cha kunasa kura za vijana huku Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022...