• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

COVID-19: Mechi ya EPL kati ya Tottenham na Arsenal yaahirishwa

Na MASHIRIKA OMBI la Arsenal la kutaka pambano la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) lililokuwa liwakutanishe na Tottenham Hotspur ugenini...

Arsenal waponda Norwich City na kumtia kocha Dean Smith kwenye presha ya kutimuliwa

Na MASHIRIKA ARSENAL walishinda mechi yao ya nne mfululizo katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuzamisha chombo cha Norwich City...

Pigo Arsenal baada ya majeraha na corona kuweka nje mabeki tegemeo

Na MASHIRIKA BEKI tegemeo kambini mwa Arsenal, Takehiro Tomiyasu sasa atakosa mechi kadhaa za klabu hiyo baada ya kupata jeraha wakati...

Arsenal washauriwa kumuuza Aubameyang, kutafuta mvamizi mpya Januari 2022 na kumpa Tierney unahodha

Na MASHIRIKA KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Frimpong ameshauri klabu hiyo kumtia mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang mnadani...

Arsenal wakomoa West Ham United na kuingia nne-bora EPL

Na MASHIRIKA ARSENAL waliweka hai matumaini ya kushiriki soka ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya kupepeta West Ham United...

Arsenal matumaini tele itajifufua ikipepetana na Southampton nyumbani Jumapili

LONDON, Uingereza Na MASHIRIKA Baada ya kusuasua hapo awali, Arsenal wameonyesha dalili za kurejesha hadhi yao baada ya kupanda...

Gunners wakamatia chini Newcastle FC!

Na MASHIRIKA RISASI mbili za Arsenal zilitosha kuyumbisha Newcastle kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ugani Emirates, jana. Baada ya...

Arsenal wakung’uta Leicester City katika mechi ya EPL ugani King Power

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendeleza ufufuo wa makali yao msimu huu kwa kuzamisha Leicester City 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza...

Manchester City wazidisha masaibu ya Arsenal katika EPL

Na MASHIRIKA MASAIBU ya Arsenal katika kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu yameendelea baada ya kupokezwa kichapo kinono...

Mtihani mgumu kwa Arsenal ugenini Etihad

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MABINGWA watetezi Manchester City watalenga kuongeza masaibu ya Arsenal ugani Etihad kwenye Ligi...

ARTETA: Ana wiki sita tu!

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal yuko chini ya shinikizo baada ya wakuu wa klabu hiyo kumpa muda wa wiki...

Hatimaye msimu mpya wa EPL waanza leo

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) 2021/2022 utaanza rasmi leo usiku kwa mechi moja kati ya...