Gunners wakamatia chini Newcastle FC!

Na MASHIRIKA RISASI mbili za Arsenal zilitosha kuyumbisha Newcastle kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ugani Emirates, jana. Baada ya...

Arsenal wakung’uta Leicester City katika mechi ya EPL ugani King Power

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendeleza ufufuo wa makali yao msimu huu kwa kuzamisha Leicester City 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza...

Manchester City wazidisha masaibu ya Arsenal katika EPL

Na MASHIRIKA MASAIBU ya Arsenal katika kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu yameendelea baada ya kupokezwa kichapo kinono...

Mtihani mgumu kwa Arsenal ugenini Etihad

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MABINGWA watetezi Manchester City watalenga kuongeza masaibu ya Arsenal ugani Etihad kwenye Ligi...

ARTETA: Ana wiki sita tu!

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal yuko chini ya shinikizo baada ya wakuu wa klabu hiyo kumpa muda wa wiki...

Hatimaye msimu mpya wa EPL waanza leo

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) 2021/2022 utaanza rasmi leo usiku kwa mechi moja kati ya...

Arsenal wacharaza Crystal Palace ugenini na kupaa hadi nafasi ya tisa kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Roy Hodgson amesema kibarua cha kunoa Crystal Palace kimekuwa sawa na “hadithi au safari ya kuridhisha” licha ya...

Arsenal pazuri kusonga mbele kwenye Europa League baada ya kucharaza Olympiakos 3-1 katika mkondo wa kwanza wa 16-bora

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta ametaka wanasoka wake wa Arsenal kutokuwa “maadui wao wenyewe” baada ya masihara ya mabeki kuruhusu...

Arsenal na Man-United nguvu sawa ligini

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipoteza fursa ya kuendeleza presha kwa wapinzani wao wakuu kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya...

Arsenal wapepeta Southampton na kutinga ndani ya orodha ya 8-bora EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema kwamba ushindi wa 3-1 uliosajiliwa na vijana wake wa Arsenal dhidi ya Southampton mnamo Jumanne...

Arsenal watangaza rasmi ufufuo wao ligini kwa kupokeza West Brom kichapo kinono cha 4-0 ugenini

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendeleza ufufuo wao kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuwapokeza West Bromwich Albion kichapo...

Arsenal yatuma Kolasinac kuchezea Schalke kwa mkopo huku Arteta akilenga kutema wanasoka zaidi kambini mwa Arsenal

Na MASHIRIKA BEKI Sead Kolasinac wa Arsenal amejiunga na Schalke 04 ya Ujerumani kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu wa 2020-21 huku...