• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Bruno Fernandes abeba Ureno dhidi ya Uruguay katika Kundi G

Na MASHIRIKA URENO walitinga hatua ya 16-bora kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu baada ya kupepeta Uruguay 2-0 katika pambano la...

Bruno Fernandes aponea kwenye ajali ya gari barabarani

Na MASHIRIKA KIUNGO Bruno Fernandes wa Manchester United hakuumia baada ya gari lake kuhusika kwenye ajali ya barabarani akielekea...

Bruno Fernandes atia saini mkataba mpya wa mwaka mmoja kambini mwa Man-United

Na MASHIRIKA KIUNGO Bruno Fernandes, 27, ametia saini mkataba mpya wa mwaka mmoja zaidi kambini mwa Manchester United. Nyota huyo...

Bruno Fernandes abeba Ureno hadi fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar

Na MASHIRIKA KIUNGO mvamizi wa Manchester United, Bruno Fernandes, alifunga mabao mawili na kusaidia timu ya taifa ya Ureno kufuzu kwa...

Man-United wakomoa Leeds United na kutuma onyo kwa washindani wao wakuu EPL

Na MASHIRIKA MASHETANI wekundu wa Manchester United walituma onyo kali kwa washindani wao wakuu katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu...

Manchester United kuvaana na Villarreal kwenye fainali ya Europa League

Na MASHIRIKA LICHA ya Manchester United kupokezwa kichapo cha 3-2 kutoka kwa AS Roma katika mkondo wa pili wa nusu-fainali ya Europa...

Niliwahi kujaribu kumsajili Bruno Fernandes wa Manchester United nikiwa kocha wa PSG – Tuchel

Na MASHIRIKA KOCHA Thomas Tuchel amemsifia kiungo Bruno Fernandes kwa ukubwa wa ushawishi wake uwanjani kila anapovalia jezi za Manchester...

Man-United wadengua Liverpool katika Kombe la FA na kufuzu kukutana na West Ham kwenye raundi ya tano

Na MASHIRIKA BAO la Bruno Fernandes kupitia frikiki ya dakika ya 78 liliwasaidia Manchester United kuwapepeta Liverpool 3-2 kwenye mechi...

Manchester United wawapa West Brom kibarua cha kusuburi zaidi ushindi wa kwanza EPL

Na MASHIRIKA PENALTI iliyofungwa na Bruno Fernandes baada ya mkwaju wake wa kwanza kupanguliwa na kipa Sam Johnstone ilitosha kuwapa...

Mabao ya Fernandes na Cavani yapunguza joto na presha kambini mwa Mancheter United

Na MASHIRIKA BRUNO Fernandes alifunga mabao mawili na kusaidia Manchester United kutoka nyuma na kuwapepeta Everton 3-1 katika mechi ya...

Penalti yasaidia Manchester United kutinga robo-fainali Europa League

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER United walihitaji bao la mwisho wa muda wa ziada kupitia penalti ya kiungo Bruno Fernandes ili kuwabandua FC...

Kocha Ole Gunnar ajivunia pasi za Bruno

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amemlinganisha kiungo mpya, Bruno Fernandes na...