• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

LEONARD ONYANGO: Siasa zimesaidia wafisadi kuendelea kuponda raha

Na LEONARD ONYANGO MARA baada ya kutangaza kushirikiana na kinara wa ODM Raila Odinga mnamo Machi 2018, almaarufu handisheki, Rais Uhuru...

Waiguru alia kuhangaishwa tena na EACC

Na WANDERI KAMAU GAVANA Anne Waiguru wa Kiringaga amedai kuwa ameanza kuhangaishwa na washindani wake kisiasa baada ya kusema...

Wito EACC ichunguze maafisa wa elimu

Na MAUREEN ONGALA CHAMA cha Walimu wa Sekondari (KUPPET) kimeomba Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) ianzishe uchunguzi...

Uozo wa kimaadili miongoni wa wabunge waanikwa

Na CHARLES WASONGA HUKU Spika wa Bunge Justin Muturi akiahidi kuwa madai ya ufisadi yaliyoelekezewa wabunge fulani na kampuni moja ya...

EACC yaelezea hofu ya fedha za serikali kuporwa uchaguzi ukinukia

Na WALTER MENYA ASASI za kuchunguza ufisadi zimeelezea hofu kuhusu kutokea kwa visa vya wizi na ubadhirifu wa pesa za umma kupitia...

Boga na Mwashetani washtakiwe kwa wizi wa mahindi – EACC

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wakuu katika Wizara ya Kilimo wakiongozwa na Katibu Hamadi Boga na Mbunge wa Lungalunga Khatib Mwashetani...

ONYANGO: EACC iadhibu wanasiasa wanaopuuza maagizo

Na LEONARD ONYANGO WANASIASA wanaonekana kupuuzilia mbali agizo la Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) la kuwataka kukoma...

Juhudi za kuzima ufisadi zachacha mali ikitwaliwa

JOSEPH WANGUI Na CHARLES WASONGA VITA dhidi ya ufisadi vinaonekana kuzaa matunda nchini baada ya Mahakama kukubaliana na Tume ya Maadili...

Joho awindwa na EACC

MOHAMED AHMED na FARHIYA HUSSEIN TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inachunguza madai ya ufujaji wa pesa katika Serikali ya...

Junet hatarini kunyakwa na EACC kwa ufisadi

BRIAN WASUNA na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Suna Mashariki, Bw Junet Mohammed, yumo hatarini kunyakwa na makachero wa Tume ya Maadili na...

Mahakama yatetea uamuzi wa kumtoza faini ya Sh2m aliyeitisha hongo ya Sh15m

Na BENSON MATHEKA MAHAKAMA imetetea uamuzi wa kumtoza aliyekuwa meneja wa Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru (KRA), Robert Maina Ngumi faini...

UFISADI: Waandamanaji Kisumu watisha kufunga ofisi za EACC

Na BRENDA AWUOR BAADHI ya wakazi wa Kaunti ya Kisumu wametisha kufunga ofisi za Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC)...