• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Facebook yaomba radhi baada ya huduma kupotea

Na WANDERI KAMAU AFISA Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Facebook, Mark Zuckerberg, Jumanne aliomba msamaha kwa watumiaji wa mtandao huo,...

Biden aipapura Facebook kutozima habari za uongo kuhusu corona

Na AFP WASHINGTON DC, Amerika RAIS wa Amerika, Joe Biden ameonya kwamba uenezaji wa habari za uongo kupitia mitandaoni hasa Facebook...

FAUSTINE NGILA: Madikteta wasiruhusiwe kutumia mitandao wanavyotaka

Na FAUSTINE NGILA VIONGOZI madikteta hawapendi ukweli, hasa ikiwa ukweli huo unaenezwa kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi...

Facebook yazima ujumbe wa Uhuru kwa Museveni

Na MWANDISHI WETU MTANDAO wa Facebook jana uliweka onyo kwenye ujumbe wa Rais Uhuru Kenyatta ukidai kwamba ulikuwa wa...

Facebook yaadhibu wafuasi wa Museveni

Na DAILY MONITOR KAMPALA, Uganda WATU zaidi ya 50 ambao wamekuwa wakimpigia debe Rais Yoweri Museveni mitandaoni wamezuiliwa kutumia...

FAUSTINE NGILA: Heko Twitter na Facebook kuzima tetesi za Trump

NA FAUSTINE NGILA Katika uandishi wangu, nimekuwa nikiikemea mitandao ya kijamii kwa kuchangia pakubwa kwa kuenea kwa habari za...

NGILA: Facebook ikague habari zake zisipotoshe mabilioni

NA FAUSTINE NGILA UFICHUZI wa hivi majuzi wa shirika la uanaharakati la Avaaz, Amerika kuwa Facebook iliachilia habari feki kuchapishwa...

TEKNOHAMA: Facebook kuzima habari feki za tiba

Na LEONARD ONYANGO MITANDAO ya kijamii ni sawa na maji ya mafuriko; hubeba takataka na vitu vya thamani. Licha ya mitandao ya kijamii...

Ruto atumia Facebook kupeperusha hotuba ya Raila

Na VALENTINE OBARA NAIBU Rais William Ruto, Jumatatu aliduwaza Wakenya alipopeperusha video ya moja kwa moja ya hotuba ya hasimu wake...

Ang’olewa macho kwa kutamani dume lingine Facebook

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME kutoka Uingereza amepatikana na makosa kumng’oa mpenzi wake macho, kumchapa kisha kumfungia katika...

NGILA: Kilio cha Zuckerberg ishara ya uzembe wa Facebook

NA FAUSTINE NGILA KILIO cha mwasisi wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg kwamba serikali zote duniani zinafaa kumsaidia...

Kulikuwa na tatizo la kupakia picha, Facebook yasema

Na PETER MBURU WATUMIZI wa Facebook na Instagram walikosa huduma za mitandao hiyo ya kijamii katika maeneo tofauti ya dunia, ikiwemo Kenya...