• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 6:50 AM

Facebook kuzindua mbinu ya kusoma fikra za watu

MASHIRIKA Na PETER MBURU KAMPUNI ya Facebook inatengeneza teknolojia ambayo siku za usoni huenda ikawezesha kusoma fikra za...

Facebook kutua Nairobi kuvumisha huduma zake kwa Kiswahili

Na PETER MBURU KAMPUNI ya huduma za mitandao ya kijamii Facebook inalenga kufungua afisi za huduma zake Jijini Nairobi, kama mbinu ya...

Mkenya ashinda Sh100 milioni kwenye tuzo za Facebook

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA ni baadhi ya washindi wa tuzo za kijamii za Facebook. Mkenya Noah Nasiali alishinda Sh100 milioni katika...

Mitandao ya kijamii itasaidia wanyonge kupata haki lakini kwa kufuata kanuni hizi

NA FAUSTINE NGILA MTINDO ambapo asasi zinazotegemewa kutenda haki katika visa mbalimbali vya uhalifu hutegemea mitandao ya kijamii,...

Watumizi wa mitandao ya kijamii Uganda kutozwa ushuru wa Sh100 kila siku

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA WATUMIZI mitandao  ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho Rais...

Twitter yajiunga na Google na Facebook kuharamisha matangazo ya Bitcoin

Na BERNARDINE M UTANU KAMPUNI ya mtandao wa kijamii ya Twitter imepiga marufuku matangazo ya sarafu za siri (cryptocurrency). Kampuni...

Raila aapa kushtaki Facebook na Cambridge Analytica kwa ‘ushetani’ zilizomfanyia uchaguzini

Na WYCLIFFE MUIA KINARA wa upinzani Raila Odinga Jumanne alisema ataushtaki mtandao wa Facebook pamoja na kampuni ya Cambridge Analytica...

Facebook yashtakiwa huku thamani yake ikishuka kwa kuruhusu Cambridge Analytica kudukua akaunti

Na REUTERS na CHARLES WASONGA FACEBOOK na kampuni ya kutoa ushauri wa kisiasa ya Cambridge Analytica zimeshtakiwa nchini Amerika kwa kutoa...

Jubilee yakiri Cambridge Analytica iliwasaidia uchaguzini 2017

Na WAANDISHI WETU CHAMA cha Jubilee kimekiri kusaidiwa na kampuni ya Strategic Communications Laboratory (SCL) inayohusishwa na...

Kifo cha ajabu cha mhudumu wa Cambridge Analytica jijini Nairobi

Na PATRICK LANGAT na CHARLES WASONGA  KIFO cha raia mmoja wa Romania aliyemfanyia kampeni za kidijitali Rais Uhuru Kenyatta kwenye...

FATAKI: Ukiachwa kubali yaishe, hii tabia ya kitoto ya kumpapura mwenzio mitandaoni ni ushenzi!

Na PAULINE ONGAJI Siku kadha zilizopita tulitofautiana na kaka mmoja mtandaoni kufuatia hatua yake ya kuchapisha ujumbe kumtusi binti...