• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Madiwani 78 wakataa mwaliko wa kukutana na Moi

Na FRANCIS MUREITHI SIASA za ubabe kati ya Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi zilichangia kutibuka kwa mkutano...

Moi sasa aweka mikakati imara kutua Ikulu 2022

STANLEY KIMUGE na ONYANGO K'ONYANGO KIONGOZI wa chama cha Kanu, Gideon Moi, anaendelea kuweka mikakati maridhawa ili kuhakikisha kwamba...

Kivumbi kikali chaja, wandani wa Gideon waonya mahasimu

Na FRANCIS MUREITHI WANDANI wa Mwenyekiti wa Kanu Gideon Moi sasa wanaonya wapinzani wake kujiandaa kwa ajili ya ushindani mkali katika...

Moi ndiye mrithi wa Uhuru, Kanu yasema

Na OSCAR KAKAI CHAMA cha Kanu kimeshikilia kuwa mwenyekiti wake Gideon Moi ndiye atakayemrithi Rais Uhuru Kenyatta mwaka wa...

JAMVI: Kushindwa BBI Baringo ishara Gideon hatoshi mboga

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya Bunge la Kaunti ya Baringo kutupilia mbali Mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) imedhihirisha kuwa kiongozi...

Uhuru huenda apanga kumkweza Gideon kisiasa kurudisha mkono

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kumruhusu Seneta Gideon Moi wa Baringo kusoma taarifa ya pamoja kuwashukuru madiwani kwa...

Shinikizo Ruto na Gideon Moi waungane

VALENTINE OBARA na FLORAH KOECH VIONGOZI katika ukanda wa Bonde la Ufa wamewataka Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo...

Washirika wa Ruto wapuuza kutawazwa kwa Moi

Na ERIC MATARA VIONGOZI wanaumuunga mkono Naibu Rais William Ruto katika eneo la Rift Valley, Jumapili walipuuzilia mbali kutawazwa kwa...

Ruto alivyozima kabisa juhudi za Gideon Moi kutawala Rift Valley

Na LEONARD ONYANGO NAIBU wa Rais William Ruto ameanza juhudi za kumtenga kiongozi wa chama cha Kanu Gideon Moi katika siasa za Bonde la...

Vijana wamzuia Gideon kupokea baraka

ONYANGO K'ONYANGO na TOM MATOKE KIZAAZAA kilitokea katika eneo la Kapsisiywa kaunti ya Nandi jana alfajiri wakati vijana walimzuia...

Gideon aweka mikakati kuteka nyoyo za vijana

Na FRANCIS MUREITHI SENETA wa Baringo Gideon Moi amebuni mbinu mpya ya kujivumisha kuwa Rais mnamo 2022, na wakati huo huo kuyeyusha...

JAMVI: Ishara zajitokeza Moi ndiye mrithi wa Uhuru 2022

Na CHARLES WASONGA MATUKIO mbalimbali katika siku chache zilizopita yameibua minong’ono katika ulingo wa siasa, kwamba huenda Rais...