• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

TAHARIRI: Gor, Tusker hazikufaa kubanduliwa kombe la CAF

KITENGI cha UHARIRI MASHABIKI wa soka nchini walikumbwa na masikitiko tele baada ya timu mbili za Kenya kuondolewa kwenye mashindano ya...

Gor, Homeboyz kupigania rekodi za kutoshindwa

Na CECIL ODONGO VITA vya kusalia kileleni mwa Ligi Kuu vitachacha wikendi hii huku viongozi Gor Mahia na Kakamega Homeboyz zikijibwaga...

Masikitiko Gor ikibanduliwa Caf nyumbani

Na CECIL ODONGO? VIGOGO wa soka nchini Gor Mahia jana walibanduliwa kwenye kipute cha Kombe la Mashirikisho Afrika (CAF) baada ya...

Tusker, Gor zalenga ushindi Caf kesho

Na CECIL ODONGO Tusker na Gor Mahia zimesisitiza kuwa zitapigania ushindi katika mechi za mkondo wa kwanza kwenye Kombe la Mashirikisho...

FIFA yagonga Gor kiboko cha miaka 2 kwa sababu ya jeuri

Na CECIL ODONGO KWA mara nyingine, vigogo wa soka nchini Gor Mahia wamejipata pabaya baada ya kuangushiwa marufuku ya kutowasajili...

Gor Mahia kusajili wanasoka wawili zaidi wa kigeni

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA mara 19 na washikilizi wa taji la Ligi Kuu ya Kenya, wamemsajili upya beki na nahodha wao wa zamani, Harun...

Masaibu ya Gor Mahia kwenye CAF Champions League

Na CHRIS ADUNGO MATUMAINI finyu ya Gor Mahia kusonga mbele katika kampeni za Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) msimu huu...

Kocha wa APR aapa kuzima Gor Mahia

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Mmoroko Mohamed Erradi Adil amejaa imani kuwa klabu ya APR itakuwa tayari kusambaratisha Gor Mahia katika mechi...

Wachezaji wa Gor hawajalipa kodi kwa miezi 5 – Rachier

 CHRIS ADUNGO WAKILI Ambrose Rachier ambaye ni mwenyekiti wa Gor Mahia, amesema miamba hao wa soka ya humu nchini wanapitia hali ngumu...

Nahodha wa zamani asema Gor itatinga nusu fainali CAF

NA CECIL ODONGO NYOTA wa zamani wa Mabingwa mara 17 wa Ligi Kuu ya Kenya(KPL) Gor Mahia, Jerry Onyango, ameeleza matumaini makubwa ya...

Gor ndio ‘dawa’ ya timu za Kiarabu, wasema mashabiki

NA GEOFFREY ANENE Baada ya kuufanya uwanja wa Kasarani kuwa kichinjio kwa klabu za Zamalek kutoka Misri na Hussein Dey ya Algeria,...

ODONGO: Ni aibu Gor kutumia jezi zilizotiwa viraka mechi za CAF

NA CECIL ODONGO HATUA ya timu ya Gor Mahia kutumia jezi zilizotiwa viraka kuziba nembo ya kampuni ya bahati nasibu ya Sportpesa wakati...