Gor roho mkononi ikibainika kocha Harrison hatarejea

Na CECIL ODONGO MASHABIKI wa Gor Mahia wameingiwa na wasiwasi kuwa Kocha wa Mark Harrison ambaye alienda likizoni kwao Uingereza huenda...

Gor yarejea kileleni, Vihiga Bullets ikisimamisha AFC

Na CECIL ODONGO GOR Mahia jana Jumapili ilirejea hadi kileleni mwa msimamo wa jedwali la Ligi Kuu licha ya kupata sare tasa dhidi ya...

Gor kupiga mechi tatu kujiandalia Caf

Na TITUS MAERO VIGOGO wa soka nchini Gor Mahia wanaendelea kuimarisha maandalizi yao kwa mechi ya Kombe la Mashirikisho Afrika (Caf)...

Tusker, Gor zaruhusiwa kutumia uga wa Nyayo

Na CECIL ODONGO WAWAKILISHI wa Kenya katika Kombe la Mashirikisho (CAF) Tusker na Gor Mahia sasa watatumia uga wa Kitaifa wa Nyayo...

K’Ogalo juu ya meza Tusker wakionja ushindi wa kwanza

Na CECIL ODONGO VIGOGO wa soka nchini Gor Mahia jana walipaa hadi kileleni mwa msimamo wa jedwali la Ligi Kuu huku mabingwa watetezi...

Gor Mahia yawasaka wavamizi 3 nje ya nchi

Na CECIL ODONGO KLABU ya Gor Mahia imetangaza kuwa inawasaka washambulizi watatu hatari zaidi kutoka nje baada ya kuwatema Tito Okello...

Gor Mahia yapigiwa chapuo kuendeleza ubabe kwenye kampeni za ligi kuu

Na JOHN KIMWERE MIAMBA wa soka nchini, Gor Mahia wikendi hii watashuka dimbani kukabili Sofapaka FC kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Betking...

Gor na Leopards mashakani

Na JOHN ASHIHUNDU MABINGWA wa ligi kuu nchini, Gor Mahia na mahasimu wao wakuu, AFC Leopards huenda wakajipata mashakani kutokana na...

Kibarua cha Gor Mahia kukabiliana na mikosi ya ugenini soka ya CAF baada ya kichapo kutoka kwa Napsa

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia watahitaji kufuta mikosi ya muda mrefu kusalia katika Kombe la Mashirikisho la Afrika...

Wachezaji wa Gor Mahia wagoma tena mechi ya CAF ikibisha

Na GEOFFREY ANENE KICHAPO kingine kambini mwa Gor Mahia kwenye mashindano ya Afrika kinanukia baada ya timu hiyo kugoma, mkondo ambao...

Gor, AFC Leopards waumiza nyasi bure alasiri nzima

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Gor Mahia walidumisha rekodi yao ya kutoshindwa na mahasimu wa tangu jadi AFC Leopards hadi mechi 10...

Gor Mahia wapewa Napsa Stars ya Zambia kwenye mchujo wa Kombe la Mashirikisho barani Afrika

Na CHRIS ADUNGO MIAMBA wa soka ya Kenya, Gor Mahia, watavaana na Napsa Stars ya Ligi Kuu ya Zambia (ZSL) kwenye mchujo wa kufuzu kwa...