• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Abdul Haji afuata nyayo za waliorithi jamaa zao kisiasa

Na NYAMBEGA GISESA ALIPOWEKA maisha yake hatarini kwa kuingia ndani ya Jumba la Kibiashara la Westagate, Nairobi, 2013 kuokoa watu...

Macho yote kwa Haji kuhusu wizi wa mabilioni Kemsa

Na ANGELA OKETCH MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw Noordin Haji anasubiriwa kwa hamu kuwachukulia hatua waliohusika na kashfa ya...

Maseneta wataka kubuniwe afisi ya kushughulikia usalama wao

Na CHARLES WASONGA MASENETA sasa wanaitaka Tume ya Huduma Bunge (PSC) kuanzisha afisi maalum itakayoshughulikia masuala yote...

Sijaagiza Punjani ashikwe, aache kubabaika – Haji

Na STEPHEN ODUOR MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma, Noordin Haji, amesema kuwa hajatoa kibali cha kumkamata mfanyabiashara tajiri wa...

Walioiba pesa za NHIF wanastahili adhabu ya wauaji, asema DPP

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji alieleza mahakama ya kuamua kesi za ufisadi kuwa wakuu 21 katika...

DPP ataka mnajisi aozee jela maisha sio miaka 20

Na BRIAN OCHARO MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji anataka kifungo cha miaka 20 dhidi ya mshukiwa wa unajisi kiwekwe kando, na...

Raila amtaka Haji akome kuingiza siasa katika vita dhidi ya ufisadi

Na VICTOR RABALLA KINARA wa upinzani nchini Raila Odinga amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma (DPP) kutobinafsisha vita dhidi ya...

Haji aagiza maafisa 7 wa Homa Bay kukamatwa

Na PETER MBURU MKUU wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji Alhamisi alielekeza Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kuwatia...

NYS: Agizo DPP atenganishe kesi kumi mara tatu

Na Richard Munguti MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw Noordin Haji Jumanne aliamriwa atenganishe mara tatu kesi kumi za kashfa ya...

Benki zilizofanikisha ufisadi NYS kuona cha moto

Na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amesema benki ambazo zilitumika kufanikisha wizi wa pesa za umma...

Jaji Kihara na Haji waidhinishwa na kamati ya bunge

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Uteuzi (JLAC) imemwidhinisha Rais wa Mahakama ya Rufaa, Jaji (mstaafu) Paul Kihara Kariuki kuwa...