Polisi asema atamlipa aliyeumwa na mbwa Sh150 pekee si elfu 32

Na MWANGI MUIRURI MKUTANO wa kujaribu kuleta maridhiano kati ya afisa wa polisi na raia uliishia kuwa vurugu baada ya afisa huyo kusema...

Mbwa wa Biden kupewa mafunzo mapya

Na AFP MBWA wa Rais wa Amerika Joe Biden, anayefahamika kama Major, atapelekwa kupokea mafunzo zaidi kuhusu jinsi ya kuwa na tabia ya...

Mbwa apima corona kwa ufanisi mkuu

Na MASHIRIKA HANOVER, Ujerumani DAKTARI mmoja wa wanyama nchini Ujerumani amewafundisha mbwa wa kunusa (sniffer dogs) jinsi ya...

Wafahamu mbwa bora katika shughuli za ulinzi

Na SAMMY WAWERU MBWA wanasifiwa kutokana na majukumu yake ya kipekee katika shughuli za ulinzi. Pia kuna wanaowafuga, hasa wale...

Asema mume alifaa kufa badala ya mbwa

Na MASHIRIKA Frankfurt, Ujerumani MWANAMKE mmoja katika mji huu alishangaza jamaa na marafiki kwa kusema kuwa heri mumewe angekufa...

AKILIMALI: Ajabu ya mkulima aliyeacha ufugaji wa kuku na kuanza kufuga mbwa

NA STEVE NJUGUNA KUFIKIA mwaka wa 2016, mayai yaliyoingizwa humu nchini kutoka mataifa ya nje yalikuwa yameanza kufurika katika masoko...

Haji aagiza aliyemchinja mbwa akala nyama yake aachiliwe

Na ALEX NJERU na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji ameamuru kuachiliwa huru kwa mwanamume aliyekamatwa...

Uchu wa kushiriki ngono na mbwa wamuua

MASHIRIKA na PETER MBURU SAN FRANSISCO, MAREKANI MWANAMUME wa miaka 56 aliaga dunia katika hospitali moja San Fransisco, baada ya...

Sonko anavyotumia Sh100m kumaliza mbwa jijini

Na COLLINS OMULO SERIKALI ya Kaunti ya Nairobi imeanzisha zoezi la kumaliza mbwa koko ambao wanazurura ovyo katika wadi 70 za...

Kampuni yachukua jukumu la kumtibu kibarua aliyeumwa na mbwa

Na LAWRENCE ONGARO KUFUATIA habari zilizoangaziwa kwenye vyombo vya habari kuhusu mwanamume kushambuliwa na mbwa 'sehemu nyeti', kampuni...

Mbwa amjeruhi kibarua sehemu za siri

Na LAWRENCE ONGARO MWANAMUME wa makamo anauguza majeraha mabaya ya sehemu zake nyeti baada ya kushambuliwa na mbwa wa kampuni moja ya...

Kero ya mbwa katika mitaa ya mabanda

Na SAMMY KIMATU WAKAZI katika mitaa miwili ya mabanda katika Kaunti ya Nairobi wameiomba serikali ya Kaunti kuua mbwa zaidi ya 20...