• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Joho, Raila wakutana kabla Azimio la Umoja

Na ANTHONY KITIMO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, amehudhuria mkutano wa dharura na Kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, kabla...

‘Vifaranga’ wa Joho sasa kujitetea kivyao

PHILIP MUYANGA Na WINNIE ATIENO WANASIASA katika Kaunti ya Mombasa, ambao nyota yao iling’aa waliposhirikiana na Gavana Hassan Joho...

Joho atiwa presha atangaze mrithi wake

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho amepuuzilia mbali shinikizo la wanasiasa wanaomtaka atangaze ni nani ambaye angependa...

Raila tosha 2022, Joho asema

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa Hassan Joho ametupilia mbali azma yake ya kuwania urais na kuamua kuunga mkono azma ya kiongozi wa...

Joho na Mucheru waonya wakazi dhidi ya Ruto

Na Winnie Atieno WAZIRI wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano (ICT) Joe Mucheru na Gavana Hassan Joho walimsuta na kumshambulia Naibu wa...

Joho, Ruto waua ndoto ya chama cha Wapwani

Na CHARLES LWANGA MATUMAINI ya kuundwa kwa chama cha Pwani yanaendelea kudidimia kwa mara nyingine, baada ya wabunge wandani wa Naibu...

Kaunti yapewa siku 7 kujibu kesi ya wafanyabiashara

Na PHILIP MUYANGA SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imepewa siku saba kujibu kesi iliyowasilishwa kortini na chama cha wenye mabaa, hoteli...

JAMVI: Mkanganyiko mkuu unaogubika siasa za urithi Pwani

Na MOHAMED AHMED KWA muda sasa magavana watatu kutoka Pwani akiwemo wa Mombasa Hassan Joho, Salim Mvurya wa Kwale na mwenzao wa Kilifi...

Ramadhan kupiga breki siasa moto za kumrithi Joho

Na MOHAMED AHMED MFUMO wa mwezi mtukufu wa Ramadhan unatarajiwa kutuliza kasi ya siasa za urithi wa kiti cha ugavana cha Mombasa ambazo...

Maseneta wakosoa Joho kuhusu matumizi ya feri

Na WINNIE ATIENO MASENETA wawili kutoka kaunti za Pwani wameishtumu serikali ya kaunti ya Mombasa kwa kushurutisha zaidi ya watu 300,000...

Joho alipa Sh1m kuwania tiketi ya urais ya ODM kabla ya Raila

Na JUSTUS OCHIENG Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ndiye mwanasiasa pekee ambaye kufikia sasa amewasilisha ombi la kusaka tiketi ya ODM...

Joho, Kingi mbioni kufufua jumuiya ya Pwani

Na LUCY MKANYIKA MKUTANO wa faragha wa magavana wanne wa Pwani mnamo Jumatano unaonekana kuwa mojawapo ya mbinu za kuwapa uhai wa...