• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Kituo cha Walibora hatarini kufifia baada ya kifo chake

GERALD BWISA na ELVIS ONDIEKI KITUO cha kusambazia watoto vitabu kilichoanzishwa na msomi mashuhuri wa Kiswahili, marehemu Prof Ken...

‘Tutakupeza Prof Ken Walibora’

Na Hosea Namachanja Mauti yangalikuwa binadamu, ningalijihimu na niyaulize ni kitita kipi cha hela yangalitaka lakini tatizo, mauti si...

KINA CHA FIKIRA: Shirikiana na watu bora ili nawe uwe bora, visivyo utasalia bure tu!

NA WALLAH BIN WALLAH KATIKA maisha ubora hutafutwa kwa hali na mali. Lazima ukae na watu walio bora mahali palipo na ubora ndipo...

Ken Walibora alivyowaathiri wanafunzi wa kigeni

Na YUNING SHEN NINAANDIKA barua hii kwa sababu tu ya kutoa shukrani kwa mwandishi marehemu kwa athari ya vitabu vyake na utu wake...

Walibora alitabiri kifo chake

NA MARY WANGARI [email protected] Huku taifa na ulimwengu kwa jumla ukiwa umetikiswa na habari za kutisha kuhusu kifo cha...

KAULI YA WALIBORA: Korona ni baniani akuzaye msamiati wa Kiswahili

NA PROF KEN WALIBORA KWEMA msomaji wangu mpendwa? Nashukuru sana kwa shauku yako ya kusoma safu hii kila wiki tangu 2016. Kariha yangu...

KAULI YA WALIBORA: Mbona twaogopa kukiuka haki za wauaji wa lugha?

NA PROF KEN WALIBORA HII ni enzi ya uhuru na haki. Katika enzi hii nimeona watoto wa shule za msingi wakiandamana na mabango yenye...

KAULI YA WALIBORA: Kuundwa kwa Baraza la Kiswahili njia pekee ya kuenzi wafia lugha

NA PROF KEN WALIBORA SIKU zote alipokuwa bungeni, Kathangu alikuwa akizungumza Kiswahili, japo hakuwa mzawa wa Uswahilini”?Wiki hii...

BURIANI WALIBORA: Washairi watumia ubunifu wao kumwomboleza ‘Shakespeare’ wa Kiswahili

BURIANI PROFESA Weye kweli ni shujaa, ninasema duniani Kifo chako meduwaa, kusikia redioni Mafunzoyo yatang'aa, daima...

BURIANI WALIBORA: Kenya yamwomboleza mwandishi stadi

Na CHRIS ADUNGO BIWI la simanzi limetanda nchini Kenya kufuatia taarifa za kifo cha ghafla cha mwandishi, mwalimu na mwanahabari...

Walibora alinikuza kifasihi – Mwandishi wa Taifa Leo Wanderi Kamau

Na WANDERI KAMAU PROFESA Ken Walibora ni mwandishi aliyekuwa kwenye kiwango chake maalum cha uandishi. Alikuwa na upekee wake; upekee...

Yasikitisha Walibora hataona diwani yangu aliyoifasiri – Mshairi Abdilatif Abdalla

NA ABDILATIF ABDALLA MSHAIRI, MOMBASA Nimezipokea hivi leo asubuhi habari za kifo cha Profesa Ken Walibora kwa masikitiko makubwa...