• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Seneti yaondolea KNH lawama kuhusu kifo cha Walibora mauko yake yakisalia kitendawili

Na CHARLES WASONGA SIKU 10 baada ya familia, jamaa, marafiki na mashabiki wa mwandishi mashuhuri marehemu Ken Walibora kuadhimisha mwaka...

Kituo cha Walibora hatarini kufifia baada ya kifo chake

GERALD BWISA na ELVIS ONDIEKI KITUO cha kusambazia watoto vitabu kilichoanzishwa na msomi mashuhuri wa Kiswahili, marehemu Prof Ken...

Walibora akumbukwa kwa kongamano

ELVIS ONDIEKI na OSBORNE MANYENGO ZAIDI ya wapenzi 1,000 wa lugha ya Kiswahili leo saa 10 jioni wanaandaa kongamano kupitia mtandao,...

‘Tutakupeza Prof Ken Walibora’

Na Hosea Namachanja Mauti yangalikuwa binadamu, ningalijihimu na niyaulize ni kitita kipi cha hela yangalitaka lakini tatizo, mauti si...

KINA CHA FIKRA: Profesa Ken Walibora alikichapukia Kiswahili kwa kauli na matendo, Mola azidi kumrehemu

Na WALLAH BIN WALLAH LEO tumeumega mwaka mzima kasoro siku tatu tangu alipoaga dunia Profesa Ken Walibora mwandishi mahiri mtajika wa...

Mjiandae kusoma ‘Siku Njema’ kwa lugha ya Kichina

Na CHARLES WASONGA RIWAYA ya 'Siku Njema' sasa itatafsiriwa kwa lugha ya Kichina kama ishara ya heshima kwa mwendazake Prof Ken...

Ken Walibora alivyowaathiri wanafunzi wa kigeni

Na YUNING SHEN NINAANDIKA barua hii kwa sababu tu ya kutoa shukrani kwa mwandishi marehemu kwa athari ya vitabu vyake na utu wake...

Seneti kuchunguza kifo cha Walibora

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti Jumatatu litaanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwandishi hodari na mwanahabari marehemu Profesa Ken...

Kwaheri Walibora, wengi tutakupeza

Na OSBORNE MANYENGO MWANDISHI mahiri na mwanahabari mbobevu, Prof Ken Walibora hatimaye alizikwa jana nyumbani kwao eneo la Bonde,...

Kwaheri Prof Walibora

Na CHRIS ADUNGO ULIMWENGU ni jukwaa la pekee kwetu sote kuigizia tamthilia inayoitwa ‘Maisha’ - mchezo ambao siku zote mwelekezi...

Safiri salama mwalimu na mlezi wangu wa lugha – Wangu Kanuri

Na WANGU KANURI “Wema, utu, upole, ukarimu na utendakazi,” ndizo sifa zake marehemu Prof Ken Walibora. Waliotangamana naye kwa...

Walibora alitabiri kifo chake

NA MARY WANGARI [email protected] Huku taifa na ulimwengu kwa jumla ukiwa umetikiswa na habari za kutisha kuhusu kifo cha...