• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 12:11 PM

KIKOLEZO: Mbwembwe za showbiz

Na THOMAS MATIKO OKTOBA 2020 mvunja mbavu Eric Omondi aliwashangaza maelfu ya mashabiki wake na mwonekano wake mpya. Kwa miaka mingi,...

KIKOLEZO: Watoboka maelfu kuzidisha mvuto

Na THOMAS MATIKO DUNIA ya sasa mambo yanakwenda kwa kasi ya 4G. Ukiachana na utandawazi, pia kwenye masuala ya mionekano wadau hasa...

KIKOLEZO: Maskendo kibao yachoma picha

Na THOMAS MATIKO TUNAISHI katika nyakati za kutisha sana. Siku hizi kuna matapeli wa kila dizaini. Wapo wanaotapeli kwa uwongo na...

KIKOLEZO: Maji yazidi unga!

Na THOMAS MATIKO BAADA ya miaka sita pamoja, ndoa ya rapa Kanye West na soshiolaiti Kim Kardashian, imekunywa maji. Tetesi zinadai...

KIKOLEZO: Wamechukua wameweka kisha, waah!

Na THOMAS MATIKO TUMEFIKIA upeo ambao kwa wanaoulewa muziki, hawaufanyi kwa sababu ya mapenzi ya muziki kama ilivyokuwa zamani, ila...

KIKOLEZO: Je, TPF lilikuwa shindano la mkosi?

Na THOMAS MATIKO JUMA lote hili imetrendi stori ya masaibu anayopitia staa wa zamani wa shindano la uimbaji la Tusker Project Fame...

BAMBIKA: Maceleb wamechoka na tuzo ama kunaendaje?

Na THOMAS MATIKO KWA miaka mingi tumeshuhudia chimbuko la tuzo mbalimbali za sanaa humu nchini zilizochangia pakubwa kunogesha tasnia...

KIKOLEZO: Vijiskendo kawapa jukwaa kuu showbiz

Na THOMAS MATIKO KATIKA tasnia ya Showbiz wadau wengi ambao huchachisha ni wanamuziki, waigizaji na masoshiolaiti. Kunapokosekana...

KIKOLEZO: Corona yapiga stopu showbiz

Na THOMAS MATIKO MKURUPUKO wa homa hatari ya virusi vya corona uliozukia China Desemba 2019 na kisha kusambaa kote duniani, umeendelea...

KIKOLEZO: Usimwone Papa Mokonzi hivyo, visanga vyake ni vingi

Na THOMAS MATIKO KWA mzee mwenye umri mkubwa wa miaka 63, utakachotarajia kutoka kwake ni wingi wa busara tu. Busara ya kukaa na watu...

KIKOLEZO: Kweli kwa ‘ground vitu ni different’

Na THOMAS MATIKO WASWAHILI husema, usidanganywe na rangi ya chai, utamu wa chai huwa ni sukari. Kimsingi maana ya kauli hii ni kuwa...

KIKOLEZO: Mapenzi yazima taa yao

Na THOMAS MATIKO LEO ndiyo siku ya wapendanao al-maarufu Valentine’s Day. Ndiyo siku ambayo wapenzi hujitokeza kudhihirishiana...