Demokrasia ina mipaka – Magufuli
AFP NA FAUSTINE NGILA
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alisema Ijumaa kwamba demokrasia ina mipaka yake baada ya uchaguzi uliofanyika kupelekea kukamatwa kwa viongozi wa upizani huku mpizani kubwa ukilaziika kutoroka nchini humo.
Bw Magufuli alitangazwa mshindi Oktoba 28 huku akishinda asilimia 84 ya kura lakini viongozi wa upizani wlisema kwamba kulikuwa na undanganyifu.
Siasa hizo ziliekea kukamtwa kwa viogoziwa upizani akiwemo mgombea waUrais Tundu Lissu kati yaw engine 150.
Lissu Tundu akimbilia usalama kwenye ubalozi wa UJerumani kabla ya kurudi JumatanoUbelgini ambapo alikuwa akipokea matibabu baada ya kupigwa risasi 16 mwaka 2017 kwenye Jaribio la mauaji.
Maandamano yaliokuwa yamepangwa yalipigwa kwa walioipangwa kukamatwa na kuwepo kwa polisi .Umuhimu wa demokrasia na uhuru ni kuleta maendeleo si vita,”alisema Magufuli Ijumaa hku akiapisha wabunge ambao kama wote ni wa chama cha CCM.
“Uhuru, haki na demokrasia huenda pamoja na wajibu na zote zina mipaka .Naamini nimeeleweka,” alisema.