Marufuku ndege za Afrika Ulaya

Na AFP SERIKALI za mataifa ya bara Ulaya mnamo Ijumaa ziliweka masharti ya kuzuia msambao wa aina mpya ya virusi vya corona,...

Mlipuko waangamiza watu wanane Somalia

MOGADISHU, Somalia Na MASHIRIKA WATU wanane jana walifariki huku wengine 17 wakijeruhiwa kwenye shambulio la bomu lililotokea jijini...

Malawi yamsihi Mike Tyson awe balozi wake wa bangi

Na MASHIRIKA SERIKALI ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi Mike Tyson, 54, ikimsihi akubali kuwa balozi wake wa zao...

Corona: Watu 700,000 kufariki Ulaya katika miezi minne ijayo

Na AFP SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa watu 700,000 huenda wakaaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, unaosababishwa na...

Wasomali 4 wanaswa UG

Na DAILY MONITOR POLISI nchini Uganda wanazuilia raia wanne wa Somalia, kwa madai ya kupanga njama ya kulipua mkutano wa Rais Yoweri...

Ubaguzi wa kijinsia waongezeka kwa asilimia 80 bungeni

Na WINNIE ONYANDO RIPOTI ya Muungano wa Mabunge Ulimwenguni (IPU) na Mabunge ya Afrika (APU) imebainisha kuwa ubaguzi wa kijinsia na...

Majangili wapigwa risasi na wanajeshi waliolenga wezi

Na AFP Watu kadhaa walifariki katika mashambulio ya angani yaliyolenga kambi za wezi wa mifugo katika jimbo la Sokoto, kaskazini mwa...

Watano wauawa kwa msafara wa Krismasi

WISCONSIN, Amerika Na MASHIRIKA WATU watano walifariki katika jimbo la Wisconsin, Amerika, Jumapili, baada ya gari ndogo kupoteza...

Wavamizi waua polisi, wateka Wachina 5 kambini

Na AFP WATU waliojihami vikali Jumapili walimuua afisa wa polisi na kuwateka nyara raia watano wa China, waliokuwa wakifanya kazi...

Hatimaye mwafaka wapatikana Sudan

KHARTOUM, Sudan Na MASHIRIKA UTAWALA wa jeshi nchini Sudan umekubali kumrejesha mamlakani Waziri Mkuu aliyeng’olewa mamlakani,...

Wanajeshi waua waandamanaji 14

Na MASHIRIKA KHARTOUM, SUDAN MADAKTARI nchini Sudan wamesema watu 14 waliuawa Jumatano kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama, kwa...

Ugaidi: 6 wafa, 33 wakiumia Uganda

Na FRANLIN DRAKU, Mwandishi wa NMG, Kampala, Uganda POLISI nchini Uganda jana Jumanne walithibitisha kuwa milipuko miwili iliyotokea...