• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

Wizara kufunza wakazi kilimo cha kibiashara

Na WINNIE ATIENO WIZARA ya Kilimo imewaahidi wakulima katika Kaunti ya Kwale kwamba watapewa mafunzo ya kilimobiashara ili waweze...

Wageni Pwani waonywa kuwa makini baharini

Na KNA WAGENI ambao wananuia kuzuru maeneo ya Pwani wakati wa shamrashamra za kufunga mwaka, wameshauriwa kuwa waangalifu hasa...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Kilio familia 89 Kwale zikihofia kufurushwa

Na SIAGO CECE FAMILIA 89 katika kisiwa cha Wasini, Kaunti ya Kwale, zinahofia kufurushwa makwao, baada ya mwekezaji wa kibinafsi kuanza...

Mwashetani aachia Achani tikiti ya ugavana

Na SIAGO CECE AZIMIO la Naibu Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, kuwania ugavana mwaka 2022 limepigwa jeki baada ya Mbunge wa...

Mtihani manaibu 3 wakiendea ugavana

MAUREEN ONGALA na VALENTINE OBARA MANAIBU gavana wa kaunti tatu za Pwani wanatarajiwa kukabiliana na mibabe wa kisiasa mwaka ujao katika...

Ujenzi wa bandari Kwale kuendelea

NA WINNIE ATIENO UJENZI wa bandari mpya eneo la Shimoni kaunti ya Kwale inayokadiriwa kugharimu Sh20 bilioni unaweza kuendelea bila...

Familia 28,000 kupokea msaada wa chakula kutoka Base Titanium na serikali ya Mvurya

Na MISHI GONGO ZAIDI ya familia 28,000 zisizojiweza kutoka eneo la Kinango, Kaunti ya Kwale zimepangiwa kupokea chakula cha msaada...

Mama afariki na mwanawe baada ya kukanyaga waya wa umeme Kwale

FADHILI FREDRICK na DIANA MUTHEU MAMA na mtoto wake aliyekuwa na umri wa miezi mitatu wamekumbana na kifo baada ya kukanyaga waya wa...

Maafisa wachunguza visa vya mauaji ya wazee Kwale

Na MISHI GONGO IDARA ya usalama Kaunti ya Kwale inachunguza visa vya mauaji ya wazee watatu waliouawa katika hali ya kutatanisha ndani...

Maafisa wafuatilia visa vya dhuluma za kingono Kwale

Na MISHI GONGO MAAFISA wa serikali wameanza kufuatilia visa vya dhuluma za kingono ambavyo haviripotiwi katika eneo la Mivumoni,...

Gavana Mvurya aamuru masoko yafunguliwe Kwale japo kwa masharti

Na WINNIE ATIENO GAVANA Salim Mvurya ameanza kufungua uchumi wa Kwale baada ya kuidhinisha kufunguliwa kwa masoko katika kaunti...