• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Kitany na DCI wapinga kinga ya Linturi kortini

Na JOSEPH WANGUI ALIYEKUWA mke wa Seneta wa Meru Mithika Linturi, Maryanne Kitany, na polisi sasa wanataka mahakama ifutilie mbali agizo...

Linturi alaumu Rais kwa kupuuza kilio cha Wakenya

Na GITONGA MARETE SENETA wa Meru Mithika Linturi amemlaumu Rais Uhuru Kenyatta kwa kupuuza matatizo ya Wakenya na kushughulika na...

Pesa ndizo kiini cha kuvunjika kwa ndoa ya Linturi, korti yaelezwa

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi mstaafu Mzee John Langat, 87, Jumanne alieleza mahakama inayosikiza kesi ya talaka kati ya Seneta...

Kesi ya Linturi na mkewe ipeperushwe moja kwa moja – Korti

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA inayosikiza kesi ya talaka kati ya Seneta wa Meru Mithika Linturi na mkewe Maryanne Kitany Jumatatu ilikataa...

Kitany azidi kumwanika Linturi

Na RICHARD MUNGUTI SENETA wa Meru, Mithika Linturi Jumatano aliendelea kuanikwa katika kesi ya talaka inayoendelea kati yake na Maryanne...

Korti yaamuru mkewe Linturi arudi kwa makazi ya Runda

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu Jumatano ilimwamuru mkewe Seneta wa Meru Mithika Linturi, Bi Maryanne Chebet Kitany arudi mara moja...

Seneta Linturi apambana mahakamani kuhusu digrii

[caption id="attachment_3370" align="aligncenter" width="800"] Mawakili Profesa Tom Ojienda (kulia), James Orengo na Seneta Mithika Linturi...