• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

KPC yadai kuwa mafuta ya kutosha kwenye hifadhi zake huku uhaba ukikithiri kote nchini

Na CHARLES WASONGA KAMPUNI ya Usambazaji Mafuta Nchini (KPC) imesema kuwa kuna mafuta ya kutosha nchini huku maeneo kadha nchini...

Serikali ina mikakati ya kupunguza bei za mafuta – Matiang’i

NA MERCY SIMIYU SERIKALI imesema kupanda kwa bei ya mafuta kumesababishwa na vita vinavyoendelea nchini Ukraine huku ikiwahakikishia...

Tukipunguza bei ya mafuta tutalemewa kufadhili shughuli za serikali – Wizara ya Fedha

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wataendelea kubebeshwa mzigo mzito wa bei za juu za bidhaa za mafuta baada ya serikali kukataa kupunguza...

Wakenya ‘wasukuma’ juu bei ya mafuta TZ

Na IAN BYRON MADEREVA kutoka Kenya ambao wamekuwa wakikimbia nchini Tanzania kununua mafuta, walishtuka baada ya vituo vya kuuza petroli...

Keter, Munyes wakasirisha maseneta kwa kudinda kufika mbele yao kujibu maswali kuhusu bei ya mafuta

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kawi Charles Kater na mwenzake wa Mafuta na Madini John Munyes Jumanne walidinda kufika mbele ya Kamati ya...

Wakenya wamiminika UG kununua mafuta

Na WAANDISHI WETU MAMIA ya madereva katika miji ya Busia na Malaba wamekuwa wakivuka mpaka hadi Uganda kununua mafuta ya magari na...

Munyes na Keter waitwa na Seneti kuhusu bei ya mafuta

Na CHARLES WASONGA MASENETA wamewaita Waziri wa Petroli John Munyes na mwenzake wa Kawi Charles Keter kufika mbele yake Jumanne wiki...

Wakenya Twitter wakerwa na kimya cha Raila bei ya mafuta ikipanda

NA WANGU KANURI WAKENYA katika mtandao wa kijamii wa Twitter wameshangazwa na kimya cha kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga wakati...

Bei: Wakenya waishiwa pumzi

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imeshutumiwa na wananchi kwa kuendelea kufanya maisha yao kuwa magumu zaidi kwa ongezeko la kiholela la bei...

Ushuru wa juu, madeni yachangia bei za juu za mafuta

Na BENSON MATHEKA KUPANDA kwa bei za mafuta nchini kumesababishwa na viwango vya juu vya ushuru, kupanda kwa bei za bidhaa hiyo...

Historia bei ya petroli ikigonga Sh134

Na CHARLES WASONGA WAKENYA watakabiliwa na wakati mgumu baada ya serikali kuongeza bei ya mafuta kuwa kiwango kikubwa kulingana na bei...

Serikali yapandisha bei ya mafuta baada ya majaji kurarua BBI

Na WINNIE ONYANDO SIKU moja tu baada ya mchakato wa BBI kusambaratishwa na Mahakama Kuu, bei ya bidhaa huenda ikaongezeka kufuatia hatua...