• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 6:07 PM

Wasanii wacheshi wakwama mitandaoni kujikimu kimaisha

NA BENSON MATHEKA Ni wazi kuwa wasanii aghalabu hupata pesa kwa kuwaburudisha watu. Lakini je, umewahi kuwaza ni vipi wasanii...

Masharti ya kuzima wazee yazua kizuizi kwa ufunguzi wa makanisa

TITUS OMINDE, DIANA MUTHEU na MAUREEN ONGALA IBADA ndani ya makanisa na misikiti huenda zikaathirika, baada ya viongozi wa kidini kusema...

TEKNOHAMA: Uraibu unaduwaza wauguzi kazini

Na LEONARD ONYANGO URAIBU wa mitandao ya kijamii miongoni mwa wahudumu wa afya unachangia katika kuchelewesha wagonjwa kupata matibabu...

Mitandao ya kijamii itasaidia wanyonge kupata haki lakini kwa kufuata kanuni hizi

NA FAUSTINE NGILA MTINDO ambapo asasi zinazotegemewa kutenda haki katika visa mbalimbali vya uhalifu hutegemea mitandao ya kijamii,...

Wabunge walia kuhangaishwa mitandaoni

Na JOSEPH WANGUI WABUNGE watatu wa Nyeri wamelalamika kuhusu jinsi wanavyoshambuliwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wanaopinga...

Watumizi wa mitandao ya kijamii Uganda kutozwa ushuru wa Sh100 kila siku

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA WATUMIZI mitandao  ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho Rais...