• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

MARY WANGARI: Juhudi za pamoja zinahitajika kufanikisha utekelezaji wa CBC

Na MARY WANGARI RAIS Uhuru Kenyatta hivi majuzi alizindua ripoti ya Jopokazi la Mtaala Mpya wa Elimu (CBC) katika hatua iliyoandaa...

WARUI: Mtaala wa CBC bado kizungumkuti kwa walimu wengi

Na WANTO WARUI Licha ya Wizara ya Elimu kutoa mwelekeo na mafunzo kuhusu mtaala mpya wa CBC kwa walimu, wengi wao wangali wanatatizika...

JAMHURI DEI: Juhudi kuleta usawa katika elimu zatiliwa mkazo

Na WANDERI KAMAU BAADA ya Kenya kujinyakulia uhuru mnamo Desemba 12, 1963, mojawapo ya malengo makuu ya serikali ya Mzee Jomo Kenyatta...

Watahiniwa njiapanda kuhusu amri ya Magoha

Na WANDERI KAMAU HATIMA ya maelfu ya wanafunzi wa Darasa la Nane na Kidato cha Nne katika baadhi ya shule za kibinafsi nchini...

Mtihani huu wa Darasa la Tatu haueleweki, wasema wazazi

LEONARD ONYANGO na PHYLLIS MUSASIA HALI ya kuchanganyikiwa imekumba wanafunzi 1.3 milioni wa Darasa la Tatu ambao wamekuwa wakijiandaa...

Wanafunzi wavumbua mashine ya kuunda matofali

NA RICHARD MAOSI [email protected] Mfumo wa elimu ya kisasa CBC (competence based curriculum) unahimiza wanafunzi kujipatia...

Knut yashiriki mjadala kuhusu mtaala mpya

PETER MBURU, OUMA WANZALA na WINNIE ATIENO CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kimelegeza msimamo wake na kushiriki kwenye mazungumzo ya...

Tafadhali punguza kasi ya utekelezaji mtaala mpya, Magoha aombwa

Na VITALIS KIMUTAI WAZIRI wa Elimu George Magoha amehimzwa kushauriana kwa mapana na wadau kuhusu utekelezaji wa mtaala mpya badala ya...

Mabadiliko kushuhudiwa katika masomo ya shule za sekondari

Na OUMA WANZALA SERIKALI imeanzisha rasmi mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa masomo ya shule za upili. Hii ni kufuatia mkutano wa wiki...

Walimu walia kulemewa na mtaala mpya wa mafunzo

Na Oscar Kakai WALIMU katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamemlalamikia Waziri wa Elimu, Prof George Magoha kwa kuharakisha kutekeleza...

Magoha na Sossion kujadiliana kuhusu mtaala mpya

Na VITALIS KIMUTAI CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kitakutana na Waziri wa Elimu Profesa George Magoha kuhusu masuala tata ya...

Shule zafunguliwa mtaala mpya ukitekelezwa

OUMA WANZALA na FAITH NYAMAI SHULE za umma zinatarajiwa kufunguliwa leo huku zikijitayarisha kwa shughuli nyingi kama utekelezaji wa...