• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 6:55 AM

Magoha awaonya Knut kwa kuvuruga mafunzo ya mtaala

Na WAANDISHI WETU WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha ameonya Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) dhidi ya kuvuruga mafunzo ya mtaala...

MTAALA MPYA: Vurugu walimu wakimkaidi Sossion

Na WAANDISHI WETU VURUGU zilikumba uzinduzi wa mpango wa kitaifa wa kuwapa mafunzo walimu kuhusu mtaala mpya wa elimu wa 2-6-6-3, huku...

Walimu watishia kususia mafunzo kuhusu mtaala

Na George Odiwuor WALIMU katika Kaunti za Kisumu na Homa Bay wameunga mkono hatua ya Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu (KNUT) Wilson...

Kongamano lapendekeza mtaala mpya kukabili ukosefu wa ajira

NA RICHARD MAOSI Viongozi wa kidini kutoka Kaunti ya Nakuru, wameomba serikali kusawazisha mtaala wa elimu ili kuimarisha utangamano...

Kesi kuhusu mtaala mpya wa elimu yatajwa ya dharura

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu imeratibisha kesi ya kupinga kuzinduliwa kwa mtaala mpya wa elimu nchini wa 2-6-3-3 kuwa ya...

TAHARIRI: Mfumo mpya wa elimu uboreshwe

NA MHARIRI  HATUA ya Wizara ya Elimu kuahirisha kwa ghafla utekelezaji wa Mfumo Mpya wa Elimu hadi mwaka 2020 inazua maswali kuhusu...

Serikali yaahirisha uzinduzi wa mtaala mpya, 8-4-4 kuzidi kutumika

Na SAMUEL OWINO SERIKALI imeahirisha mpango wa kuzindua mtaala mpya wa masomo mwaka ujao ili kutoa nafasi ya kuweka miundo msingi na...

WANDERI: Tuepuke dhana ya kipebari kwenye vitabu vya watoto wetu

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO wa kurasa kwenye kitabu cha shule ya msingi unaonyesha mbunge fulani akiwasili kwa helikopta shuleni huku...

Mtaala mpya uko sambamba, haujakwama – KICD

 Na BENSON MATHEKA MAGEUZI yanayofanyiwa mtaala mpya wa elimu hayajakwama, mkurugenzi wa taasisi ya kukuza mitaala nchini (KICD) Dkt...

Mtaala mpya waidhinishwa na waangalizi wa kimataifa

Na CECIL ODONGO WAANGALIZI wa Kimataifa wameidhinisha mtaala mpya wa elimu unaoendelea kufanyiwa majaribio katika shule mbalimbali...

TAHARIRI: Mtaala mpya unahitaji umakinifu

Na MHARIRI KENYA inapojiandaa kuzindua mtaala mpya wa elimu, itakuwa muhimu mambo kadhaa muhimu yazingatiwe kwa makini. Mfumo wa...

Hofu uzinduzi wa mtaala mpya wa 2-6-6-3 hapo 2019 utafeli tena

Na LEONARD ONYANGO UZINDUZI wa mafunzo ya Mtaala mpya kwa madarasa ya chekechea hadi Darasa la Nne, Januari 2019, huenda ukagonga mwamba...