• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Hosea Kiplagat, mwandani wa zamani wa Mzee Moi, afariki

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA mwenyekiti mrasimu wa Benki ya Co-operative na mwandani wa karibu wa rais wa zamani marehemu Daniel Moi,...

Moi ni babangu kisiasa – Ruto

“Tunampa mkono wa buriani kiongozi mashuhuri wa nchi yetu na baba yetu. Nasema baba yetu nikiwakilisha mamia ya maelfu ya watu ambao japo...

Wajukuu wasema Moi alitenga muda kuwa nao

Na MARY WANGARI FAMILIA, jamaa marafiki, wanasiasa na viongozi mbalimbali jana waliungana kutoa wosia na heshima zao katika siku ya...

Moi alikuwa amejiandaa kuondoka duniani – Askofu

Na WANDERI KAMAU RAIS Mstaafu Daniel Moi alikuwa amejitayarisha kwa safari yake ya mwisho duniani, amesema Askofu Mstaafu Silas Yego wa...

Wakazi walivyojazana Afraha kufuatilia matukio ya Kabarak

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya Wakenya ambao hawakupata fursa ya kwenda Kabarak kwa ajili ya hafla ya mazishi ya Rais Mstaafu Daniel arap...

Mamia warauka Moi akitoka Nairobi

 Na CECIL ODONGO MAMIA ya Wakenya jijini Nairobi, Jumatano walijitokeza katika barababara ya Argwings Kodhek karibu na hifadhi ya maiti...

Hatimaye Moi alazwa

Na VALENTINE OBARA RAIS wa pili wa Kenya Daniel arap Moi, hatimaye alizikwa jana katika boma lake eneo la Kabarak, Kaunti ya Nakuru kwa...

Uhuru afichua alivyomhepa Moi kwa wiki nzima

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano aliibua kicheko katika ibada ya mazishi ya Rais Mstaafu Daniel arap Moi aliposimulia...

Rais ataja marehemu Moi kama shujaa

Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta, jana aliongoza viongozi wa Afrika kummiminia sifa aliyekuwa rais wa pili wa Kenya hayati Daniel...

Viongozi wa mataifa 7 wahudhuria ibada ya mwisho ya Moi

Na LEONARD ONYANGO VIONGOZI 7 wa mataifa mbalimbali ya Afrika walikuwa miongoni mwa maelfu ya Wakenya waliofika katika uwanja wa Nyayo...

Moi alizingatia uaminifu kuliko kiwango cha elimu

Na JOSEPH WANGUI RAIS Mstaafu Daniel arap Moi alizingatia zaidi uaminifu kwake wakati alipoajiri maafisa wakuu wa usalama, Kamishna...

Wabunge walivyoimba nyimbo za kusifu Nyayo bungeni

Na Charles Wasonga WABUNGE mnamo Jumatatu alasiri walivunja sheria za bunge na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Mstaafu marehemu Daniel...