• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 6:07 PM

Napoli wakung’uta AC Milan na kurukia nafasi ya pili Serie A

Na MASHIRIKA NAPOLI walikomesha rekodi duni ya kutoshinda mechi tatu mfululizo katika Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kwa kukomoa AC Milan...

Napoli wazamisha Juventus kwenye Serie A na kuokoa kazi ya kocha Gattuso

Na MASHIRIKA NAPOLI walimpunguzia kocha wao Gennaro Gattuso presha ya kupigwa kalamu kwa kuwapiga Juventus katika ushindi wa 1-0...

Napoli wabadilisha jina la uwanja wao wa San Paolo hadi Diego Armando Maradona Stadium

Na MASHIRIKA NAPOLI wamebadilisha jina la uwanja wao wa nyumbani wa Stadio San Paolo na kuuita Diego Maradona kwa heshima ya jagina huyo...

Soka ya Italia kurejea kwa nusu-fainali ya Coppa Italia

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS na AC Milan zitakuwa klabu za kwanza kurejelea soka ya Italia zitakapovaana Ijumaa ya Juni 12 katika mkondo wa...

Klopp aivulia Napoli kofia baada ya kumlisha sakafu

Na MASHIRIKA NAPLES, ITALLIA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool ameijumuisha Napoli katika orodha ya timu zilizo na uwezo mkubwa wa...

NGOMA ITAMBE: Kivumbi kampeni za UEFA zikianza

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA LIVERPOOL wanaanza leo Jumanne kampeni za kutetea ufalme wa taji la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kwa...

GUMZO LA SPOTI: Napoli yalima Liverpool huku Lyon wakiwacharaza Arsenal

Na MASHIRIKA EDINBURGH, SCOTLAND NAPOLI iliwapokeza Liverpool kichapo kinono cha 3-0 siku saba kabla ya miamba hao wa soka ya...

KIZAAZAA: Fataki Emirates Arsenal wakitoana kijasho na Napoli, Chelsea ugenini

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KLABU mbili maarufu, Arsenal na Napoli leo Alhamisi usiku zitakutana ugani Emirates katika mechi ya mkondo...