• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM

Msipoungana msahau urais milele, Ngilu aambia vinara wa Nasa

Na BENSON MATHEKA GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu anasisitiza kuwa vinara wa NASA wasipoungana kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022, wasahau...

JAMVI: Mbio za Ngilu kutuliza zogo, uasi katika ODM

Na BENSON MATHEKA HATUA ya Gavana Charity Ngilu wa Kitui ya kukutanisha Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga na washirika wake James...

Korti yarusha Ngilu kwenye kinywa cha mamba

Na KITAVI MUTUA HATIMA ya utawala wa Gavana wa Kitui, Bi Charity Ngilu, sasa imo mikononi mwa madiwani baada ya Mahakama Kuu kukataa...

Ngilu atia makali madiwani wakipanga kumng’atua uongozini

Na BONIFACE MWANIKI GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu amesemekana kuanza juhudi za kuvunja serikali hiyo baada ya habari kumfikia kuwa...

Ngilu azindua ambulansi 10 kusaidia wagonjwa mahututi

 Na KITAVI MUTUA Gavana wa Kitui, Bi Charity Ngilu Jumanne alizindua ambulansi 10 ambazo zitatumika kuwahudumia wakazi hasa wakati wa...

Rungu la EACC laelekezwa kwa Ngilu

Na BONIFACE MWANIKI TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) sasa imeelekeza macho yake kwa serikali ya Kaunti ya...

Ngilu kulipa nusu milioni kwa kupotosha seneti

Na CHARLES WASONGA na DAVID MWERE GAVANA wa Kaunti ya Kitui, Charity Ngilu, atalazimika kulipa Sh500,000 kama faini kwa kuwasilisha...

Masaibu huku hospitali kuu ikifungwa bila notisi

Na BONIFACE MWANIKI WAKAZI wa Kyuso katika eneobunge la Mwingi Kaskazini, kaunti ya Kitui, wamelalamikia vikali hatua ya kufungwa kwa...

Ngilu asimulia mahakamani alivyoponea kifo

NA KITAVI MUTUA GAVANA wa Kitui Charity Ngilu Jumatano alielezea Mahakama ya Kitui alivyoponyoka kifo kwa tundu la sindano 2016 wakati...

Muafaka wa Uhuru na Raila wafaa kuwaletea Wakamba maendeleo – Ngilu

NA STEPHEN MUTHINI GAVANA wa Kitui Bi Charity Ngilu amesema kuwa ushirikiano kati ya viongozi wa kisiasa ulioundwa baada ya muafaka Rais...

Hatimaye Mutua akubali kushirikiana na Ngilu na Prof Kibwana

CHARLES WASONGA na STEPHEN MUTHINI GAVANA wa Machakos, Dkt Alfred Mutua Ijumaa alikutana na wenzake, Prof Kivutha Kibwana (Makueni) na...

MAKALA MAALUM: Wiper yaanza kusaka kura za 2022 mapema

Na KITAVI MUTUA CHAMA cha Wiper kimeanza mikakati ya kuwarai vijana kutoka sehemu mbalimbali nchini kujiunga nacho kwenye harakati za...