• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Walioathiriwa na nzige waanza kupokea fidia

SAMMY LUTTA NA ALEX NJERU SERIKALI ya kitaifa imekumbatia mpango wa kuwafidia wakulima ambao mimea yao iliharibiwa miaka miwili...

FAO yaonya kuhusu uvamizi wa nzige

Na GEOFFREY ONDIEKI SHIRIKA la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), limeonya kuhusu uvamizi mpya wa nzige nchini Kenya na...

Hofu uvamizi wa nzige unapunguza asali

Na Geoffrey Ondieki UVAMIZI wa nzige nchini sasa unaangamiza nyuki na kuchangia kupungua kwa uzalishaji wa asali katika kaunti...

Kaunti 13 kuvamiwa na nzige tena – Katibu

Na WINNIE ATIENO SERIKALI imeonya kuhusu uvamizi mwingine wa nzige wa jangwani katika kaunti 13 huku ikianzisha mikakati kabambe ya...

Nzige: Onyo Wapwani wasiwafanye kitoweo

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa Kaunti ya Kilifi wameonywa dhidi ya kula nzige ambao wameshambulia eneo hilo. Onyo hilo limetolewa na...

Nzige wavamia mashamba na malisho Lamu

Na KALUME KAZUNGU BAA la njaa linawakodolea macho wakazi wa Kaunti ya Lamu kufuatia nzige waharibifu kuvamia mashamba yao kwa mara ya...

‘Nzige watachangia utapiamlo katika jamii za wafugaji’

Na JACOB WALTER WANAWAKE na watoto ndio wameathiriwa zaidi na athari za uvamizi wa nzige nchini, Shirika la Msalaba Mwekundu nchini...

Pakistan yawalipa wakulima wanaokamata nzige na kuunda chakula

NA AFP Nchi ya Pakistan imekuwa ikikamata nzige na kutengeneza chakula cha kuku kama njia mojawapo ya kupambana na uvamizi wa wadudu hao...

NZIGE NA MAFURIKO: Wakulima Garissa kufadhiliwa na serikali ya kitaifa na ya kaunti

Na FARHIYA HUSSEIN ZAIDI ya wakulima 30 katika Kaunti ya Garissa watafaidika wakisubiri kufadhiliwa na Serikali ya Kitaifa na Kaunti...

Nzige watisha kuzua baa la njaa Turkana

SAMMY LUTTA Wakazi wa kaunti ndogo za Turkana wanahofia njaa inayowakondolea macho baada ya mamilioni ya nzige kufaamia mashamba yao na...

Wakazi walia nzige wamekula mimea inayoota msimu wa upanzi

Na GEOFFREY ONDIEKI [email protected] Uwepo wa nzige katika kaunti ya Samburu unazidi kuzua tumbo joto miongini mwa wakulima...

Vilio nzige hatari wakiharibu mimea

Barnabas Bii na Onyango K’onyango NZIGE hatari bado wanaendelea kusababisha uharibifu mkubwa katika baadhi ya maeneo ya Kaskazini mwa...