• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Viongozi Mlima Kenya watazuru Nyanza kuthibitisha wanaunga mkono Raila – Orengo

Na MWANDISHI WETU UJUMBE wa viongozi waliochaguliwa eneo la Mlima Kenya utazuru Nyanza kuthibitishia wenyeji kwamba ngome ya Rais Uhuru...

Orengo awalaumu vigogo ODM kwa kumtoroka Raila

Na VICTOR RABALLA SENETA wa Siaya, James Orengo, amewakemea viongozi wa ODM kwa kumuacha kiongozi wa chama hicho Raila Odinga wakati...

Korti yamzima Orengo kuwa wakili wa Manduku

Na PHILIP MUYANGA MAHAKAMA Kuu imemzima Seneta wa Siaya, James Orengo, kumtetea aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari ya Kenya...

Orengo apendekeza Oburu Odinga kumrithi useneta Siaya

Na CECIL ODONGO SENETA wa Siaya James Orengo ametangaza kuwa anampendekeza kakake kiongozi wa ODM Raila Odinga, Dkt Oburu Odinga,...

ODM yatisha kumng’oa Dkt Ruto

DICKENS WASONGA na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine viongozi ODM wamedokeza kuwa huenda wakadhamini hoja ya kumng’oa mamlakani Naibu...

‘Punguza Mizigo’ yagawanya wanasiasa

Na WAANDISHI WETU MSWADA wa kurekebisha katiba unaotarajiwa kuwasilishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa mabunge ya...

Msalimie Orengo yuko hapa, Raila amkumbusha Uhuru

Na CHARLES WASONGA WAGENI mashuhuri waliohudhuria sherehe za Madaraka Dei Jumamosi katika Uwanja wa Michezo wa Narok walichangamshwa na...

Wanaotaka kuning’oa mamlakani wanaota mchana – Ruto

WAANDISHI WETU NAIBU RAIS William Ruto, amewapuuzilia mbali wale wanaoendeleza mpango wa kumuondoa mamlakani akisema ataendelea...

Mpuuzeni Orengo kumpangia Ruto mabaya – Raila

Na JUSTUS WANGA KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga, hafurahishwi na mwandani wake seneta wa Siaya James Orengo, kufuatia matamshi...

JAMVI: Handisheki ilivyoibua ubabe wa kisiasa baina ya Orengo na Mbadi

NA CECIL ODONGO MATAMSHI ya Seneta wa Siaya James Orengo ambaye pia ni mwandani wa kinara wa ODM Raila Odinga, kwamba chama hicho kiko...

Mbadi atofautiana na Orengo

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa ODM John Mbadi amepuuzilia madai ya Seneta wa Siaya James Orengo kwamba kiongozi wa chama hicho Raila...

Caroline Mwatha aliuawa na polisi – Orengo

NA CAROLINE MUNDU VIONGOZI katika Kaunti ya Siaya, wamepuuzilia mbali ripoti ya uchunguzi wa polisi iliyoonyesha mwanaharakati Caroline...