• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Yaibuka BBI sasa itachukua mkondo wa ‘Punguza Mizigo’

Na JUTUS OCHIENG MGONGANO unanukia kati ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na wanasiasa wanaovumisha ripoti ya Jopokazi la...

Aukot adai Mswada wa Punguza Mizigo uliyumbishwa na wanasiasa wenye tamaa

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Thirdway Alliance Dkt Ekuru Aukot amesema kuanguka kwa Mswada wa Punguza Mizigo kumechangiwa zaidi na...

Madiwani wa Mandera watoa ahadi kupitisha ‘Punguza Mizigo’

Na MANASE OTSIALO MADIWANI wa bunge la Kaunti ya Mandera, Ijumaa waliahidi kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuro Aukot, kwamba...

Waiguru, Aukot wakwaruzana tena kuhusu Punguza Mizigo

NA LEONARD ONYANGO GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru na kiongozi wa Thirdway Alliance, Ekuru Aukot Jumatano waliendelea kurushiana cheche...

Mswada ‘Punguza Mizigo’ waelekea kugonga ukuta

Na WANDERI KAMAU, BENSON MATHEKA na COLLINS OMULO MSWADA wa kura ya maamuzi wa Punguza Mizigo unaopigiwa debe na Dkt Ekuru Aukot wa...

Magavana njiapanda kuhusu miswada miwili

Na GITONGA MARETE na CHARLES WASONGA MAGAVANA sasa wako njia-panda kuhusu iwapo waunge mkono kura ya maamuzi inayopendekezwa ya Punguza...

Kaunti kutoa msimamo wao kuhusu ‘Punguza Mizigo’

NA CECIL ODONGO MUUNGANO wa Mabunge ya Kaunti (CAF) Alhamisi utatangaza msimamo wake ikiwa yataunga au kupinga mswada wa Punguza Mizigo...

Wito maoni ya BBI na ‘Punguza Mizigo’ yaunganishwe

Na SAMUEL BAYA WITO umetolewa kuunganisha mapendekezo ya vuguvugu la ‘Punguza Mzigo Initiative’ na lile la ‘Building Bridges...

Seneta apigia debe Punguza Mizigo

Na OSCAR KAKAI SENETA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Bw Samuel Poghisio ameunga mkono mapendekezo kwenye mswada wa marekebisho ya...

Mswada wa Punguza Mizigo wapata pigo mahakamani

Na SAM KIPLAGAT MAHAKAMA Kuu imesimamisha mabunge yote 47 ya kaunti kujadili wala kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba...

Maspika wa kaunti waahidi kutoa msimamo huru kuhusu ‘Punguza Mizigo

Na SAM KIPLAGAT na WANDERI KAMAU MAHAKAMA Kuu imesimamisha mabunge 47 kujadili na kuidhinisha mswada wa Punguza Mizigo ulioasisiwa na...

Bunge halina usemi kuhusu ‘Punguza Mizigo’ – Aukot

NDUNGU GACHANE na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa chama cha Thirdway Alliance, Dkt Ekuru Aukot, amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya wabunge...