• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Hofu wasichana wateswa chuoni na ‘masponsa’

NA MAUREEN ONGALA USIMAMIZI wa Chuo Kikuu cha Pwani, umeeleza wasiwasi wake kuhusu ongezeko la wanafunzi wa kike wanaopitia dhuluma...

Joho ageuka mteja ‘Baba’ akizuru Pwani

Na WAANDISHI WETU GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, kwa mara nyingine alikosekana katika ziara ya Kiongozi wa ODM Raila Odinga, maeneo...

Tumepuuzwa na Rais Uhuru, Wapwani walia

Na MAUREEN ONGALA BAADHI ya viongozi wa Pwani wamemkosoa Rais Uhuru Kenya kwa kutoangazia changamoto za eneo hilo katika mikakati ya...

Maswali Ruto akiidhinisha wawaniaji ugavana Pwani

Na WAANDISHI WETU CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA) kinachoongozwa na Naibu Rais William Ruto, kina kibarua kizito kuamua...

Kaunti za Pwani kusaka ?watalii kama eneo moja

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa itashirikiana na kaunti zingine za Pwani kuinua sekta ya utalii ambayo imepata pigo kubwa...

Hofu ya Pwani kususia kura za 2022 yatanda

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI katika ukanda wa Pwani wameeleza wasiwasi wao kuwa huenda idadi kubwa ya wananchi wakakosa kushiriki katika...

Pwani: Kiangazi chaleta maafa

KALUME KAZUNGU na SIAGO CECE KIANGAZI kimesababisha maafa katika kaunti mbalimbali za Pwani, ambapo watu wameauawa na wanyamapori huku...

Chama kipya Pwani kinavyotishia Ruto na Raila

Na MAUREEN ONGALA MIPANGO ya kuzindua chama kipya Pwani kabla uchaguzi ujao ufike, imeshika kasi na kutishia kugeuza mawimbi ya kisiasa...

Agizo wanafunzi waliokosa kujiunga na sekondari wasakwe

MAUREEN ONGALA na STANLEY NGOTHO MAELFU ya wanafunzi hawajajiunga na Kidato cha Kwanza katika kaunti mbalimbali nchini, wiki nne tangu...

Kingi azidi kubanwa pembeni

Na ALEX KALAMA CHAMA cha Kadu-Asili kimetilia shaka nia ya Gavana wa Kilifi, Bw Amason Kingi, kuleta umoja wa Pwani na hivyo kuzidi...

Wapwani wakaushwa tena

Na WAANDISHI WETU MASAIBU yanayokumba wakazi wa Pwani wanapojitafutia riziki yanazidi kuongezeka, baada ya kubainika kuwa, wavuvi...

Mtihani manaibu 3 wakiendea ugavana

MAUREEN ONGALA na VALENTINE OBARA MANAIBU gavana wa kaunti tatu za Pwani wanatarajiwa kukabiliana na mibabe wa kisiasa mwaka ujao katika...