• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

‘Uhuru na Raila wanataka kura ya maamuzi upesi’

Na MWANGI MUIRURI MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge Kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC) Muturi Kigano amedai kuwa Rais Uhuru Kenyatta na...

ODM yajiandaa kupinga refarenda kufanywa 2022

Na SAMWEL OWINO CHAMA cha ODM kimepanga mikakati kuzuia uwezekano wa bunge kupitisha hoja ambayo itapelekea kura ya maamuzi kufanywa...

Refarenda yaja

Na BENSON MATHEKA Mabadiliko ya katiba nchini hayawezi kuepukika iwapo Wakenya wanataka kutimiza malengo ya waanzilishi wa taifa hili,...

Sheria ya refarenda yaandaliwa

NA DAVID MWERE DALILI ya kuandaliwa kwa kura ya maamuzi zinazidi kudhihirika baada ya wabunge kuanza mchakato wa kuunda mswada ambao...

JAMVI: ‘Punguza Mizigo’ kugonganisha madiwani na vigogo wa vyama

Na PETER MBURU NAIBU Rais William Ruto ameonyesha ishara za wazi kuwa ndiye atakuwa mpinzani mkuu wa wito wowote wa kuandaliwa kwa kura...

‘Punguza Mizigo’ yagawanya wanasiasa

Na WAANDISHI WETU MSWADA wa kurekebisha katiba unaotarajiwa kuwasilishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa mabunge ya...

TAHARIRI: Kaunti zizingatie ‘Punguza Mzigo’

NA MHARIRI KUKAMILIKA kwa ukaguzi wa saini zilizowasilishwa na mwanasiasa Ekuru Aukot kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), sasa...

Madiwani kuamua iwapo referenda itafanyika

WANDERI KAMAU na CHARLES WASONGA UAMUZI wa iwapo referenda ya 'Punguza Mzigo' itafanyika, sasa iko mikononi mwa madiwani katika kaunti...

‘Referenda yafaa kujali maslahi ya wananchi, si matakwa ya viongozi walafi’

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi ametofautiana na wabunge wa ODM kuhusu wito wa kutaka...

Viongozi wa ODM waasi Raila kuhusu suala la referenda

Na RUSHDIE OUDIA na LEONARD ONYANGO BAADHI ya viongozi wa ODM wameenda kinyume na kinara wao Raila Odinga kuhusu pendekezo lake la...

Referenda yaja, Uhuru adokezea Wakenya

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alidokeza kuunga mkono marekebisho ya Katiba ili kuwe na nafasi zaidi za uongozi...

Sina tamaa ya kuendelea kuwa mamlakani baada ya 2022 – Uhuru

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta ameondolea wasiwasi viongozi wanaoshuku kuna mipango ya kumwezesha kuendelea kuongoza baada ya...