• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:13 PM

Kibarua kwa Rais Suluhu joto la kudai katiba mpya likiongezeka

Na MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM, Tanzania UPINZANI nchini Tanzania sasa unadai kuwa viongozi 41 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Tanzania: Kamati yapendekeza kuwepo kwa ‘lockdown’ kupunguza maambukizi ya Covid-19

Na LEONARD ONYANGO WAKAZI wa maeneo yaliyo na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona nchini Tanzania huenda wakafungiwa...

Kenya, Tanzania zalegeza masharti kuimarisha ushirikiano wa kibiashara

Na SAMMY WAWERU WAFANYABIASHARA wa Tanzania wako huru kuwekeza nchini bila kuwekewa vikwazo vyovyote. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza...

Rais Kenyatta atangaza siku 7 za kumwomboleza Magufuli, bendera nusu mlingoti

NA WANGU KANURI RAIS Uhuru Kenyatta ametoa risala za rambirambi kwa mkewe Rais Magufuli, Janet Magufuli, watoto wao, jamaa na taifa la...

MAFUTA: Wakenya wakimbilia Tanzania

IAN BYRON NA HILLARY KIMUYU MAMIA ya Wakenya wanavuka mpaka hadi nchi jirani za Tanzania na Uganda kununua mafuta kwa bei nafuu.Hii ni...

Rais wa Tanzania John Magufuli afariki

NA AGGREY MUTAMBO RAIS wa Jamhuri ya Tanzania John Pombe Magufuli amefariki. Kulingana na tangazo la Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu...

Udikteta ulivyolemaza vita dhidi ya corona Tanzania

Na MWANDISHI WETU Mwezi Februari nilisafiri kutoka Uropa hadi Dar es Salaam, Tanzania. Ilikuwa ni safari ya kikazi ambayo pia...

Amerika yatoa tahadhari kuhusu corona Tanzania

Na AFP DAR ES SALAAM, Tanzania SERIKALI ya Amerika imeonya kwamba maambukizi ya virusi vya corona yanaendelea kuongezeka kwa kiwango...

Maaskofu wafunguka kuhusu corona Tanzania, wataka wananchi waambiwe ukweli

LOUIS KALUMBIA NA MASHIRIKA Viongozi wa makanisa nchini Tanzania sasa wanataka waumini wapewe habari sahihi kuhusu maambukizi ya corona...

Wadadisi waonya ghasia zitachafua Tanzania

Na MASHIRIKA MAAFISA wa usalama wa Tanzania wanashinikizwa wawaadhibu wanaotekeleza ghasia za kisiasa wakati huu wa kampeni huku wadau...

Kenya yamwomboleza Benjamin Mkapa

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Ijumaa aliongoza Wakenya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kiongozi...

Corona imeisha Tanzania – Magufuli

Na MASHIRIKA HUKU ulimwengu, hasa mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki, ukiendelea kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya...