• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

Trump aacha Amerika yenye aibu na ubaguzi

Na AFP JOE Biden ataapishwa saa chache kutoka sasa kuwa rais wa 46 wa Amerika kwenye sherehe ambayo Rais Donald Trump amesema...

DOUGLAS MUTUA: Waandamanaji wa Amerika na wa Kenya ni tofauti

Na DOUGLAS MUTUA SASA, ukizingatia yaliyojiri Marekani yapata wiki moja unusu iliyopita, umejua kwamba ghasia za baada ya uchaguzi si...

Amerika mbioni kumtimua Trump

Na MASHIRIKA WABUNGE wanatarajiwa kupiga kura leo usiku kupitisha hoja ya kuidhinisha Makamu wa Rais Mike Pence kumtimua Rais Donald...

Trump atemwa na mawakili wake katika kesi ya uchaguzi

Na MASHIRIKA MASAIBU ya Rais wa Amerika anayeondoka Donald Trump yameongezeka baada ya kutemwa na mawakili aliokodi kupinga matokeo ya...

FAUSTINE NGILA: Heko Twitter na Facebook kuzima tetesi za Trump

NA FAUSTINE NGILA Katika uandishi wangu, nimekuwa nikiikemea mitandao ya kijamii kwa kuchangia pakubwa kwa kuenea kwa habari za...

Biden ajiandaa kuingia Ikulu Trump akiendelea kulalamika

Na AFP RAIS mteule wa Marekani Joe Biden jana aliendelea na maandalizi ya kuchukua rasmi uongozi wa taifa hilo licha ya Rais Donald...

Utawala wa Donald Trump wajiandaa kwa awamu ya pili ya urais

Na MASHIRIKA IKULU ya White House inaendelea kuwapiga msasa watu ambao huenda wakahudumu katika muhula wa pili wa Donald Trump ambaye...

Yanayoweza yakafanyika Trump akidinda kumpongeza Biden au akatae kuondoka White House?

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA MASWALI yameibuka kuhusu kile kinachoweza kikafanyika ikiwa Rais Donald Trump atakatalia Ikulu ya White...

MUTUA: Iwe ni Trump au Biden, watakusaidia nini vile?

Na DOUGLAS MUTUA NIMEWAONA Wakenya na kiherehere chao wakimtakia ushindi Rais Donald Trump wa Marekani katika uchaguzi utakaofanyika...

MUTUA: Itakuwa kibarua kudhibiti Trump na Biden mijadalani

Na DOUGLAS MUTUA NIMETAFAKARI kuhusu mojawapo ya mbinu ambazo zinapendekezwa ili kumdhibiti Rais Donald Trump wa Marekani wakati wa...

Trump motoni kwa kuagiza wafuasi wake wapige kura mara mbili

Na AFP RAIS wa Amerika Donald Trump amejipata matatani kutokana na matamshi yake kwamba wafuasi wake wapige kura mara mbili kwenye...

Trump aondolewa katika ukumbi mmojawapo ufyatulianaji risasi ukitokea nje ya White House

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika RAIS Donald Trump aliondolewa haraka kutoka Ikulu ya White House na walinda usalama baada ya...