• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 3:17 PM

JUMA NAMLOLA: Ni kazi bure kuahidi kuimarisha uchumi bila ya kudhibiti ufisadi

Na JUMA NAMLOLA WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo amabyo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia...

Safaricom ilichangia Sh557 bilioni kwa pato la taifa – Ripoti

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI ya Safaricom ilichangia asilimia 5.2 ya pato la taifa (GDP) katika mwaka wa matumizi ya fedha wa...

Muungano wa kaunti umekufa

Na Barnabas Bii MUUNGANO wa kiuchumi wa kaunti za Kaskazini mwa Bonde la Ufa (NOREB), uliopigiwa upatu kubadilisha chumi za eneo hilo,...

2020: Waliong’aa na kugusa Wakenya kwa njia ya kipekee

Na BENSON MATHEKA INGAWA mwaka huu umekuwa mgumu kwa Wakenya, kuna waliong'ara katika nyanja mbalimbali na kugusa wengi kwa kuonyesha...

Uhuru awaruka Wakenya kuhusu ushuru nafuu

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliruka ahadi yake kwa Wakenya kuwa ushuru wa VAT ungesalia asilimia 14 hadi Juni 30...

Huenda aina mpya ya corona ikazimisha uchumi wa dunia

WANDERI KAMAU Na BENSON MATHEKA HALI ya wasiwasi imetanda duniani kufuatia kuchipuka kwa aina mpya ya virusi vya corona, ambavyo...

Corona inavyoumiza wafugaji wa kuku

Na KEVIN ROTICH Kabla kuzuka kwa janga la virusi vya corona, biashara ya kuku ilinoga sana nchini ikilinganishwa na hali ilivyo sasa....

Java yawaomba wafanyakazi wajiuzulu kwa hiari

NA WANGU KANURI Mkahawa wa Java wenye afisi zake kuu jijini Nairobi umewapa wafanyikazi wake notisi ya kujiuzulu  kwa hiari kabla ya...

LUCY DAISY: Serikali ielewe uchumi umezorota, iwaruhusu wanawake fursa wachuuze bidhaa

Na LUCY DAISY NCHINI Kenya, kuna wanawake wengi sana ambao hawana namna ya kujipatia riziki. Hawana kazi ilhali wana watoto na familia...

Nyanya na vitunguu ghali zaidi, viazi na karoti zashuka bei

NA CHARLES MWANIKI BEI ya vyakula imepanda kwa asilimia 10.6 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, ikilinganishwa na asilimia 11.6...

Huenda asilimia 75 ya kampuni zikafungwa Juni – CBK

NA FAUSTINE NGILA HALI ya uchumi nchini inazidi kudorora kutokana na makali ya janga la Covid-19, huku serikali ikionya huenda Wakenya...

Mabilioni yatengwa kunyanyua uchumi

NA MWANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta ametangaza juhudi atakazoweka ili kufufua uchumi wa nchi. Mikakati hiyo itahusisha mabilioni ya...