Rwanda kufungua mpaka na Uganda

NA MASHIRIKA KIGALI, RWANDA SERIKALI ya Rwanda imesema itafungua tena mpaka wake na Uganda mwezi huu huku ikijitahidi kuzima taharuki...

Ugaidi: 6 wafa, 33 wakiumia Uganda

Na FRANLIN DRAKU, Mwandishi wa NMG, Kampala, Uganda POLISI nchini Uganda jana Jumanne walithibitisha kuwa milipuko miwili iliyotokea...

Waganda washerehekea kurejeshwa kwa intaneti

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA  RAIA wa Uganda wamesherehekea kurejeshwa kwa huduma za mawasiliano ya intaneti ambazo zilizimwa siku...

Amerika sasa yataka jopo libuniwe kuchunguza matokeo ya uchaguzi wa Uganda

IRENE ABALO OTTO na ANDREW BAGALA AMERIKA sasa inataka tume huru ya uchaguzi nchini Uganda kukagua matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika...

Facebook yazima ujumbe wa Uhuru kwa Museveni

Na MWANDISHI WETU MTANDAO wa Facebook jana uliweka onyo kwenye ujumbe wa Rais Uhuru Kenyatta ukidai kwamba ulikuwa wa...

UGANDA: Demokrasia Afrika bado ni ndoto

NA WACHIRA ELISHAPAN  Bara la Afrika kwa Mara nyingine limejipata katika hali tata,baada ya rais wa jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni...

EU yasifu uchaguzi wa Uganda

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ubalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Uganda, balozi Atillio Pacifici, ameelezea kufurahishwa na jinsi...

Mshindi wa urais Uganda kujulikana kesho

NA DAILY MONITOR TUME Huru ya Uchaguzi nchini Uganda inatarajiwa kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais hapo Jumamosi baada ya kuandaa...

Nitapinga matokeo uchaguzi ukikosa uwazi – Bobi Wine

NA DAILY MONITOR MWANIAJI urais wa chama cha National Unity Platform (NUP) nchini Uganda Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amsesma...

Jeshi lamwagwa miji mikuu uchaguzi mkuu ukinukia

NA MASHIRIKA JESHI la Uganda limeimarisha usalama jijini na nje ya Kampala kabla ya uchaguzi wa urais na bunge uliopangiwa kufanyika...

Walinzi na wafuasi wa Bobi Wine wakamatwa, siku mbili kabla ya uchaguzi

Na CHARLES WASONGA MGOMBEAJI wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine Jumanne alifichua kuwa wanajeshi wa serikali walivamia nyumbani kwake...

Amerika yamshutumu Rais Museveni kunyanyasa Wine

Na DAVID VOSH AJUNA KAMPALA, UGANDA UBALOZI wa Amerika nchini Uganda, umekashifu vikali kuendelea kuhangaishwa kwa mwaniaji wa Urais...