• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 8:55 PM

Kenya imepiga hatua kubwa za ugatuzi – Balozi wa Ujerumani

Na AGGREY MUTAMBO BALOZI mpya wa Ujerumani nchini Kenya, Bi Annett Günther, amesema ugatuzi utasaidia wananchi wanaoishi katika maeneo...

Wawakilishi Wanawake hawana manufaa, wabunge wapunguzwe hadi 47 – Kabogo

Na PETER MBURU ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu William Kabogo amejiunga na mjadala wa viongozi wanaopigania kubadilishwa kwa katiba ili...

RIPOTI: Ugatuzi bado unawapiga chenga vijana

Na CAROLYNE AGOSA ASILIMIA 60 ya vijana nchini hawafahamu jinsi mfumo wa ugatuzi unavyofanya kazi wala majukumu ya viongozi wao wa...

Kongamno la Ugatuzi: Uhuru ahutubia wajumbe kidijitali

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alikosa kufika katika kongamano la tano wa Ugatuzi ulioandaliwa mjini Kakamega. Gavana wa...

Kongamano la Ugatuzi: Wajumbe wakerwa na kujikokota kwa usajili

BENSON AMADALA na DERRICK LUVEGA WAJUMBE na Wageni wanaohudhuria Kongamano la Ugatuzi katika Kaunti ya Kakamega walilalamikia kujikokota...

TAHARIRI: Magavana waelezane ukweli kwenye kongamano

Na MHARIRI KILA mwaka, magavana hukutana kwenye kongamano la kutathmini hatua walizopiga tangu ugatuzi uanze rasmi mwaka 2013. Mwaka...

Wafisadi katika Wizara ya Ugatuzi hawana pa kujificha – Marwa

[caption id="attachment_2535" align="aligncenter" width="800"] Bw Marwa amesema magavana watafuatiliwa kuhusiana na namna wanavyotumia...