Magavana mbioni kukamilisha miradi kabla ya kustaafu

Na BARNABAS BII MAGAVANA kutoka North Rift wanaohudumu muhula wa pili, wanajizatiti kukamilisha miradi waliyoanzisha huku ikisalia...

Magavana wanuia kunyonya raia baada ya 2022

Na SILAS APOLLO MAGAVANA ambao wamehudumu kwa vipindi viwili, kila mmoja, watapokea Sh11.1 milioni kama malipo ya kustaafu, ikiwa...

Mvutano kati ya Ottichillo na naibu wake wachacha

Na DERICK LUVEGA MVUTANO kati ya Gavana wa Vihiga Wilber Ottichillo na naibu wake, Dkt Patrick Saisi, unaendelea kuchacha.Hii ni baada...

Magavana wataka watengewe fedha za kufadhili afya, kilimo na maji

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA wameitaka Serikali ya Kitaifa kuzitengea serikali za kaunti mabilioni ya fedha ambazo huelekezwa kwa sekta...

Wambora ailaumu Serikali kwa kudhalilisha wakulima

NA RICHARD MAOSI BARAZA la Magavana (CoG), Wizara ya Kilimo, Shirika la Kutoa Msaada Duniani (USAID) ziliandaa mkutano mjini Naivasha...

Mgavana watofautiana kuhusu sheria ya kuwataka madiwani kuwa na digrii

Na ERIC MATARA BAADHI ya magavana wametofautiana na wenzao kuhusu sheria inayohitaji wawaniaji wa viti vya udiwani kuwa na shahada ya...

Maseneta wamkaanga Oparanya kwa amri yake ya kufunga kaunti

Na CHARLES WASONGA MASENETA Jumatano walimshambulia mwenyekiti wa Baraza la Magavana (CoG) Wycliffe Oparanya kwa cheche za maneno...

Korane gavana wa sita kusimamishwa na korti kwenda ofisini

Na RICHARD MUNGUTO GAVANA Ali Korane ndiye kinara wa sita wa serikali za kaunti kupigwa marufuku kurudi afisini baada ya kushtakiwa kwa...

Magavana wawili zaidi kuchunguzwa kwa ufisadi

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA wengine wawili watashtakiwa kwa kosa la ufisadi hivi karibuni huku Tume ya Madili na Kupambana na Ufisadi...

COVID-19: Serikali kuu na zile za kaunti zakubaliana kushirikiana katika ufunguzi wa sekta mbalimbali

Na CHARLES WASONGA SERIKALI Kuu na Serikali 47 za kaunti zimekubaliana kuwahusisha magavana katika mipango yote ya kufungua uchumi,...

Serikali yatakiwa kuwapa raia pesa badala ya chakula

Na WANDERI KAMAU MAGAVANA nchini wanaitaka Serikali kuwapa Wakenya pesa kujinunulia chakula wenyewe, ili kuepuka hali ambapo misongamano...

Hatuna uwezo wa kukabili corona – Magavana

Na PATRICK LANG’AT BARAZA la Magavana limekiri kwamba kaunti zote haziko tayari kukabiliana na janga la corona ikiwa hali itazidi kuwa...