• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Jambazi aua mwenzake kwa kisu kimakosa, 2 waangushwa na polisi

Na WANGU KANURI MSHUKIWA wa wizi alimshambulia na kumuua mwenzake walipokuwa wakipigana na mlinzi wa kampuni ya David Engineering jijini...

Polisi chonjo kukabili magenge msimu huu

Na WAANDISHI WETU POLISI katika maeneo ya Pwani wametoa onyo kali kwa magenge ya wahalifu na wafadhili wao wakati nchi inapoelekea kwa...

Kafyu yasaidia kukabili magenge ya uhalifu Mombasa – Kamishna

Na MISHI GONGO KAFYU ya nyakati za usiku imetajwa kupunguza magenge ya uhalifu kama vile 'Wakali Kwanza' na 'Wajukuu wa Bibi' jijini...

Maafisa wafanikiwa kunasa bangi na chang’aa katika nyumba moja mjini Thika

Na LAWRENCE ONGARO POLISI mjini Thika wamefanikiwa kunasa bangi na chang'aa katika mtaa wa Kisii. Kulingana na kamanda wa polisi...

Uhalifu umepungua kwa asilimia 50 – Kibicho

Na WANDERI KAMAU VISA vya uhalifu nchini vimepungua kwa asilimia 50 tangu serikali kuanza kutekeleza kafyu Machi, amesema Katibu wa...

KAFYU: Polisi na majambazi sasa wazidisha uhalifu

Na WAANDISHI WETU VISA vya ukiukaji wa amri ya kutotoka nje usiku na uhalifu vimeendelea kushuhudiwa maeneo tofauti nchini huku maafisa...

Uhalifu waongezeka wakati wa kafyu

Na ONYANGO K'ONYANGO VISA vya uhalifu vinazidi kuongezeka kwenye kaunti zinazopatikana Kaskazini mwa Bonde la Ufa hasa usiku wakati wa...

Echesa aendelea kuandamwa na madai ya uhalifu

Na MARY WAMBUI ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Echesa, ameendelea kuandamwa na masaibu baada ya maafisa kutoka Idara ya Kuchunguza...

Jinsi washukiwa watatu wa uhalifu walivyouawa Juja

Na LAWRENCE ONGARO WASHUKIWA watatu wa ujambazi waliovamia kijiji cha Nyacaba, kaunti ndogo ya Juja, wameuawa na maafisa wa...

Washukiwa watatu wa al-Shabaab wanaswa Thika, wahojiwa na ATPU

Na LAWRENCE ONGARO KIKOSI cha maafisa wa usalama Kiambu kipo imara kukabiliana na uvamizi wowote unaoweza kutokea wakati wowote katika...

Wahalifu wawaua maafisa wawili wa polisi Kayole

Na VINCENT ACHUKA MAAFISA wawili wa polisi waliokuwa wanapiga doria wameuawa kwa kupigwa risasi katika hali tatanishi Ijumaa asubuhi,...

Warsha ya kukabili uhalifu mijini yaandaliwa

 NA RICHARD MAOSI Shirika la kibinafsi linalosimamia haki za kibinadamu (Midrift Human Rights), kutoka Nakuru liliandaa warsha ya siku...