• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 6:07 PM

Serikali ya Uhuru yasutwa kwa kutumia pesa bila idhini ya Bunge

NA CHARLES WASONGA SERIKALI iliyopita ya Jubilee imelaumiwa kwa kutumia jumla ya Sh55 bilioni, bila idhini ya Bunge, kwa miezi mwili na...

Matusi ya viongozi yaaibisha serikali

NA BENSON MATHEKA HUKU serikali ya Jubilee ikikaribia kuondoka mamlakani baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, viongozi wake wameonyesha...

Jubilee sasa yashinikiza vyama vidogo vikunjwe

NA ONYANGO K’ONYANGO CHAMA cha Jubilee sasa kimeanza mchakato wa kushawishi wandani wa Rais Uhuru Kenyatta waliokuwa wameunda vyama...

Uhuru achemka kwa kuhepwa ngome yake

NA MWANGI MURURI RAIS Uhuru Kenyatta ameripotiwa kukasirishwa na washauri wake kuhusu ripoti zao za hali ya kisiasa katika eneo la Mlima...

Washauri wa Uhuru watajwa kuchangia umaarufu wa Ruto

NA MWANGI MUIRURI WANDANI wa Rais Uhuru Kenyatta wamelaumiwa kwa kuchangia kudidimia kwa umaarufu na ushawishi wake katika eneo la Mlima...

Rais atoa ahadi ya kuwainua walemavu

Na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta amekariri kujitolea kwa serikali katika kuboresha maslahi ya walemavu, akisema watasaidiwa kushiriki...

Uhuru apigia debe Raila kumrithi 2022

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine alionyesha dalili za kuunga mkono azimio la kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga,...

Uhuru asema Raila na Mudavadi ndio walimjulisha bungeni

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alitoa kumbukumbu ya nyakati ambapo alihudumu bungeni kama Mbunge Maalum, Kiongozi wa...

Rais Kenyatta ahutubia taifa kupitia kikao cha pamoja bungeni

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta anahutubia taifa leo Jumanne alasiri katika kikao cha pamoja cha bunge, wengi wakisubiri kusikia...

Mtihani kwa Uhuru kipindi cha lala salama

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta leo Jumanne anatarajiwa kuangazia mikakati ya serikali ya kukabiliana na changamoto zinazolikumba...

Uhuru kutoa hotuba kuhusu hali ya taifa Bungeni Novemba 30,2021

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta atatoa hotuba kuhusu Hali ya Taifa katika kikao maalum cha Bunge la Kitaifa na Seneti mnamo...

Serikali ya wakaidi wa sheria

Na BENSON MATHEKA SERIKALI imeonywa kuwa mazoea ya maafisa wake, akiwemo Rais Uhuru Kenyatta ya kukaidi maagizo ya mahakama na utawala...