• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Uhuru sasa kuzuru Ukambani

Na CHARLES WASONGA IKULU ya Rais sasa inasema kuwa ziara ya Rais Uhuru Kenyatta katika eneo la Ukambani itajikita katika ukaguzi wa...

Mizozo ya wanasiasa yaua ziara ya Uhuru Ukambani

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ameahirisha ziara yake ya siku mbili eneo la Ukambani kwa kile ambacho Ikulu ilisema ni hofu ya...

Mutua alia Kalonzo ameteka BBI Ukambani

Na Pius Maundu GAVANA wa Machakos Dkt Alfred Mutua amemlaumu kinara wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, kwa kuteka mchakato wa kurekebisha...

Ruto ashauriwa kuungana na Kalonzo kupenya Ukambani

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto ameshauriwa kuwa kuungana na kiongozi wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, ndiyo njia pekee ambapo...

Mabwanyenye wa Ukambani mbioni kupimana ubabe

KITAVI MUTUA na PIUS MAUNDU SIASA za Ukambani zinaendelea kuchukua mwelekeo mpya huku uhasama mkubwa ukiibuka kati ya mabwenyenye wawili...

Mutula Jr aongoza maseneta wa Ukambani kumkaidi Kalonzo

Na BENSON MATHEKA Maseneta wa kaunti tatu za Ukambani, wameapa kwamba hawatakubali kutishwa kuunga mfumo wa ugawaji wa pesa za kaunti...

Kibwana atangaza kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2022

Na SAMUEL OWINO GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana anayehudumu kwa kipindi chake cha mwisho, anasema ameitikia mwito wa raia kuwa...

JAMVI: Jinsi tajiri Muthoka alivyounganisha vigogo wa siasa Ukambani kuhusu BBI

BENSON MATHEKA Na KITAVI MUTUA Huenda siasa za eneo la Ukambani zikachukua mwelekeo mpya iwapo juhudi za kuunganisha viongozi...

Raila motoni kwa ‘kuwatusi’ mabinti Wakamba

Na WAANDISHI WETU KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amejipata pabaya kutokana na kauli aliyotoa majuzi kuwahusu wanawake wa jamii ya...

Kibwana, Mutua na Ngilu watisha kumkata miguu Kalonzo

Na BENSON MATHEKA UMOJA wa magavana wa kaunti tatu za Ukambani ambao unaonekana kupata nguvu kila siku, unaweza kuwa pigo kwa maisha ya...

Ukambani walia matunda ya handisheki hayajawafikia

Na PIUS MAUNDU SIKU chache baada ya kiongozi wa ODM kuzindua miradi kadhaa katika ngome yake ya Nyanza kutokana na muafaka kati yake na...

KINAYA: ‘Wiper’ ajue ufalme si moto wa sigara kupeanwa, siasa ni weledi wa kamari

Na DOUGLAS MUTUA WAKAMBODIA bado wana hasira! Tena nyingi tu. Za nini lakini? Sina hakika, ila juzi wengi wamenitimua kutoka vikundi...