Kalonzo alaani ubomoaji katika mtaa wa Mukuru

Na CECIL ODONGO KINARA wa Wiper Kalonzo Musyoka amelaani ubomoajii ambao umekuwa ukiendelea katika mtaa wa mabanda wa Mukuru kwa Njenga...

Ushawishi wa Kalonzo Pwani wafifia 2022 ikinukia

Na LUCY MKANYIKA USHAWISHI wa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka katika eneo la Pwani unaendelea kudidimia huku wanachama wake wakigura...

Kalonzo awalilia vinara wa OKA wampe tiketi apeperushe bendera ya urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amewalilia vinara wenza katika Okoa Kenya Alliance (OKA) kumpa tiketi ya...

Amani: Kalonzo kutuzwa leo Dubai

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka leo Jumatatu atakuwa miongoni mwa watu watakaopokezwa tuzo mbali mbali Dubai...

Kuongeza bei ya mafuta kunaongezea umaskini Kenya – Kalonzo

Na WINNIE ONYANDO VIONGOZI wa kisiasa wakiongozwa na Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka waliishutumu serikali vikali kwa kuongeza bei za...

Wabunge wa Wiper watishia kutema Kalonzo

Na CHARLES WASONGA KUNDI la wabunge wa Wiper wametisha kumtelekeza kiongozi wao Kalonzo Musyoka ikiwa atakubali kuwa mgombea mwenza wa...

Ngilu ahimiza Kalonzo amuunge Raila mkono

Na PIUS MAUNDU GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu amemtaka Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka atupilie mbali azma yake ya kuwania urais...

Kalonzo azindua sekretarieti ya kushirikisha kampeni zake za urais

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka Jumatatu, Agosti 9, 2021 alizindua nguzo tano ambazo zitahimili azma yake ya...

Musyoka akoleza urafiki wa kisiasa na Lenku

Na STANLEY NGOTHO KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka wikendi alikita kambi katika Kaunti ya Kajiado kusaka uungwaji kuhusu ndoto yake ya...

Kalonzo amrai Shahbal arejee chamani Wiper

Na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha Wiper, Bw Kalonzo Musyoka amemrushia ndoano mfanyabiashara Suleiman Shahbal ambaye amepanga...

Kalonzo arai Raila awe mgombea mwenza wake uchaguzini 2022

Na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, amesifia hatua ya ODM kujiondoa katika muungano wa NASA na akamuomba kiongozi...

Kalonzo avua kivuli cha Raila

Na LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Wiper, Kalonzo Musyoka hatimaye ameonekana kujitoa kwenye kivuli cha kiongozi wa ODM, Raila Odinga baada...