• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Wasichana zaidi ya 5,000 waepuka kukeketwa, ndoa

Na OSCAR KAKAI ZAIDI ya wasichana 5,000 katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameokolewa kutoka kwa ukeketaji na ndoa za mapema katika...

Binti adai kupigwa sababu hajakeketwa

Na Oscar Kakai MWANAMKE wa miaka 22 kutoka kata ya Murpus, Pokot Magharibi anatafuta haki kwa madai ya kupigwa na kuumizwa na wanawake...

Ukeketeji Mlima Kenya unavyochochewa na laana

Na MWANGI MUIRURI Changamoto kubwa katika mapambano dhidi ya ukeketaji dhidi ya wanawake wa Mlima Kenya ni laana ya kuachwa na nyanya...

Wanaoendeleza ukeketaji Lamu wazimwa

NA KALUME KAZUNGU KAMPENI dhidi ya ukeketaji ambayo imekuwa ikiendelezwa na wanajamii na maafisa wa utawala kwenye vijiji mbalimbali vya...

Muuguzi asimulia alivyolazimishwa kupashwa tohara akiwa na miaka 6

WAWERU WAIRIMU Na SAMMY WAWERU Bi Rosaline Guyo Gollo alikuwa na umri wa miaka sita pekee alipolazimishwa kupashwa tohara...

Wasichana wakeketwa na kuozwa Baringo

Na FLORAH KOECH LICHA ya serikali kuendelea na mipango ya kufungua upya shule mwezi Januari, kuna hofu ya wanafunzi wengi wasichana...

Wasichana wengi zaidi wakeketwa msimu wa Krismasi

NA OSCAR KAKAI Visa vya ukeketaji vimeongezeka katika msimo huu wa Krismasi katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Kulingana na wanaharakati...

Msioe wasichana waliokeketwa, Njuri Ncheke waonya vijana

Na DAVID MUCHUI Baraza la Wazee wa Njuri Ncheke sasa linanuia kupiga marufuku kuolewa kwa wasichana waliopashwa tohara katika juhudi za...

‘Ukeketaji bado unaendelea Embu’

NA CHARLES WANYORO Wasichana wanne waliokeketwa Kaunti ya Embu Kijiji cha Gitugi wameruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitalini na...

Muungano wa vijana dhidi ya ukeketaji waanza kuibadilisha sura ya Isiolo

Na PAULINE ONGAJI [email protected] BAADA ya ngoja ngoja hatimaye vijana wa Kaunti ya Isiolo wana kila sababu ya kutabasamu...

Onyo kali kwa wanaokeketa wasichana kisiri

Na PAULINE ONGAJI [email protected] Katibu Mkuu wa Usimamizi katika Wizara ya Utumishi wa Umma na Jinsia Bi Rachel Shebesh...

KRISMASI: Hofu wasichana wakijikeketa wenyewe

Na OSCAR KAKAI HUHU shamrashamra za Krismasi zikinoga, imefichuka kuna watoto wanaobalehe katika Kaunti ya Pokot Magharibi ambao...