• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 4:55 PM

Unapoliosha gari, hakikisha hutumii maji ya chumvi

NA MARGARET MAINA [email protected] WATU wengi wamekuwa hawatumii vifaa sahihi wakati wanaosha magari yao na hata wale...

Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye viatu

NA MARGARET MAINA [email protected] HARUFU mbaya katika viatu na vifaa vya kuhifadhia kama vile mifuko ya mazoezi na mikoba...

Sato Tap, ubunifu wa kisasa wa kunawa mikono

NA MWANDISHI WETU Sato, biashara ya kijamii ya Kikundi cha LIXIL kutoka Japan ambayo inakusudia kutatua shida za maji, usafi wa...

WASONGA: Machifu wasikwamishe mpango wa usafi mitaani

Na CHARLES WASONGA SINA shaka kwamba Rais Uhuru Kenyatta alikuwa na nia njema alipoanzisha Mpango wa Kitaifa wa Usafi unaotekelezwa na...

Thiwasco yazidi kusambaza maji mjini Thika

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya maji ya Thiwasco Water Company Ltd, tayari inazidi kuongeza vituo maalum vya kusambaza maji kwa wananchi...

AFYA: Cha kufanya ili kuzuia fangasi miguuni

Na MARGARET MAINA [email protected] WATU wengi wanaoishi katika maeneo yenye joto la wastani mpaka la juu ni kundi la watu...

United Bank for Africa yafanya usafi jijini Nairobi

Na GEOFFREY ANENE HUKU jiji la Nairobi likikabiliwa na changamoto jinsi ya kukabiliana na utupaji wa taka, benki ya United Bank for...

Mbunge aandaa mswada wa kuhakikisha hospitali zinaweka mikakati salama ya kushughulikia takataka

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kesses, Swarup Mishra ameandaa mswada unaolenga kulazimisha hospitali za umma na zile za binafsi kujenga...

AFYA NA USAFI: Matumizi ya baking powder na baking soda nyumbani mbali na uokaji

Na MARGARET MAINA [email protected] BAKING powder inayopatikana jikoni na ambayo hutumika sana katika uokaji wa vyakula kama...

USAFI: Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kinywani

Na MARGARET MAINA [email protected] HARUFU mbaya kinywani inaweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano kwa sababu anakuwa hana...

Zingatieni usafi mkila mapochopocho ya Krismasi, wakazi waambiwa

Na MAGDALENE WANJA Serikali ya kaunti ya Nakuru imetoa onyo kwa wakazi kuzingatia usafi wakati wa sherehe za Krismasi ili kujiepusha na...