• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM

COVID-19: Visa jumla Kenya vyapanda hadi 830 wahanga wakifika 50

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU IDADI ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya sasa imepanda hadi 830 baada ya watu...

COVID-19: Idadi ya Wakenya waliofariki ughaibuni yafika 20

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya Mashauri ya Kigeni imethibitisha kuwa jumla ya Wakenya 20 wamefariki kutokana na sababu zinazohusishwa na...

Taifa laendelea kuomboleza vifo vya wanafunzi 14 Kakamega

Na CAROLINE WAFULA WAZAZI na viongozi mbalimbali wako katika Shule ya Msingi ya Kakamega ambapo Jumatatu kulitokea mkasa wa mkanyagano...

SHINA LA UHAI: Taswira ya vifo vya uzazi na watoto wachanga nchini Kenya

Na BENSON MATHEKA IDADI ya watoto wanaofariki wakati wa kuzaliwa na kabla ya kutimiza miaka mitano na akina mama wanaoaga dunia kutokana...

NENDENI SALAMA: Misa ya kuaga wanafunzi 10 yaandaliwa

Na BONIFACE MWANIKI HALI ya majonzi ilitanda katika uwanja wa michezo wa shule ya upili ya St. Joseph’s Seminary, Mwingi Alhamisi...

Mvua ya mauti watu 22 wakiangamia

Na WAANDISHI WETU ZAIDI ya watu 22 walifariki dunia Jumanne kwenye mikasa miwili tofauti inayohusiana na mvua, huku idara ya utabiri wa...

Takwimu: Siaya yaongoza kwa idadi kubwa zaidi ya vifo nchini

Na DOROTHY OTIENO na JOSHUA MUTISYA IKIWA unaishi Siaya, una uwezo mkubwa zaidi kufariki kabla ya muda wako ikilinganishwa na yeyote...

TAHARIRI: Mafuriko ya sasa yawe funzo kwa umma na serikali

Na MHARIRI MAAFA na uharibifu wa mali unaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa...

Mafuriko yasababisha vifo zaidi

Na WAANDISHI WETU TAKRIBAN watu 15 wamekufa na wengine kujeruhiwa huku mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa ikiharibiwa na mvua kubwa...

MAAFA YA MVUA: Watu tisa waangamia

Na WAANDISHI WETU WATU tisa walifariki katika maeneo mbalimbali ya nchi kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, ambayo pia...

Bwana Harusi sasa aahirisha fungate baada ya sherehe kugeuka msiba

Na MOHAMED AHMED BWANAHARUSI katika sherehe ya harusi iliogeuka kuwa msiba kwa familia za watu sita eneo la Mishomoroni, Mombasa...

Mvua kubwa yasababisha maafa kote nchini

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Watu watatu waliaga dunia na wengine zaidi ya 150 wakaachwa bila makao Taita Taveta Katika Kaunti...