• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Babayao akunja mkia kufuata Uhuru

Na MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu, Bw Ferdinand Ndung’u Waititu amesalimu amri na kuamua kumuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta...

Mwaka 2020 ulivyosambaratisha mipango ya Waititu

Na SAMMY WAWERU Ferdinand Ndung’u Waititu si mgeni machoni mwa umma kutokana na umaarufu wake na wa aina yake katika ulingo wa...

EACC yawazima Sonko na Baba Yao

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa zamani wa Kiambu Ferdinand Waititu na mwenzake wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko wamepata pigo baada ya Tume ya...

Waititu alia kuzimiwa simu na aliodhani ni marafiki

Na SIMONI CIURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu sasa anadai kuwa watu aliodhani kuwa marafiki zake na aliowasaidia kupata...

‘Hii ndiyo dhamira ya Waititu kuingia Kanu’

MERCY KOSKEY na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu, Bw Ferdinand Waititu Babayao sasa yuko mbioni kujinusuru kisiasa kwa...

Kabogo bado amwandama Waititu, afufua kesi ya vyeti

Na JOSEPH WANGUI ALIYEKUWA Gavana wa Kaunti ya Kiambu, William Kabogo, amefufua kesi ambayo alitilia shaka vyeti vya masomo vya mrithi...

Babayao ataka ushahidi mkuu ung’olewe

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) ameomba mahakama itupilie mbali ombi la aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand...

Waititu kizimbani seneti mashtaka dhidi yake yakianza kusikizwa

Na PETER MBURU GAVANA wa Kiambu Ferdinand Waititu, Jumanne amekuwa kizimbani Seneti kwa kusikizwa kwa mashtaka ya kutaka kumbandua,...

Mvutano wa Uhuru, Ruto watatiza kikao cha kumtimua Waititu

Na CHARLES WASONGA SIASA za mirengo ya Tangatanga na Kieleweke ndani ya Jubilee zilijitokeza wazi jana katika Bunge la Seneti wakati wa...

Hali yao mbaya

Na VALENTINE OBARA MAGAVANA sita, wabunge saba na seneta mmoja ni kati ya watu mashuhuri watakaopokonywa walinzi na bunduki...

Uzembe wa Seneti huenda ukamnusuru Waititu

Na DAVID MWERE HUENDA mchakato wa kumwondoa mamlakani Gavana wa Kiambu, Ferdind Waititu ukagonga mwamba baada ya kubainika kuwa Bunge la...

Masaibu zaidi yamwandama Gavana Waititu

Na KIPCHUMBA SOME Baada ya madiwani kumvua wadhifa, Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu ameanikwa zaidi baada ya kubainika kuwa familia...