• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Baba Yao atiwa adabu na madiwani

NA CHARLES WASONGA MADIWANI wa Kaunti ya Kiambu wamepitisha kura ya kumwondoa mamlakani Gavana Ferdinand Waititu Baba Yao kwa matumizi...

TAHARIRI: Washukiwa wa ufisadi hawafai kuingia ofisini

NA MHARIRI Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi anataka bunge libuni sheria ambayo itawafanya maafisa wa serikali watakaoshtakiwa kuhusu...

Nyoro amnyorosha Baba Yao

Na RICHARD MUNGUTI NDOTO ya Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu kurudi kazini imegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kuamuru asalie...

Korti kuamua Agosti 8 ikiwa Waititu ataendelea na kazi

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Kiambu Ferdinand Waititu Jumatatu alijitetea vikali katika Mahakama Kuu akitaka kuruhusiwa kutekeleza...

Waititu akagua miradi ya maendeleo Wangige na Kikuyu

Na SIMON CIURI na MARY WANGARI IMEKUWA ni kazi kama kawaida kwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu ambapo Jumamosi amekagua miradi kadha...

Mahakama yamkausha Baba Yao

RICHARD MUNGUTI Na BENSON MATHEKA  GAVANA wa Kiambu, Ferdinard Waititu Baba Yao, Jumanne alipata pigo baada ya mahakama kumzuia kuingia...

Mshukiwa alaani kesi ya Waititu kuvuruga harusi yake

Na RICHARD MUNGUTI MMOJA wa washukiwa 12 wanaoshtakiwa pamoja na gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu 'Baba Yao' kwa kashfa ya Sh588...

BABA YAO: Nilikuwa humu humu tu, sikuhepa!

Na ANITA CHEPKOECH BAADA ya mchezo wa paka na panya kushuhudiwa kati ya Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu na maafisa wa Idara ya...

Hakimu katika kesi ya Waititu ajiuzulu

Na BENSON MATHEKA na SAM KIPLAGAT HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Kiambu Brian Khaemba amejiuzulu Ijumaa saa chache baada ya kusimamishwa...

Baba Yao atumia Sh6m kuwatibu wanabodaboda waliopata ajali

Na LAWRENCE ONGARO WAHUDUMU wa bodaboda wapatao 55 waliopata ajali watanufaika na ufadhili wa matibabu kutoka kwa Serikali ya Kaunti ya...

Nina pesa nyingi kama njugu – Waititu

Na MWANGI MUIRURI GAVANA wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amewaonya mahasidi wake wa kisiasa kuwa lau wangeelewa ukwasi halisi alio nao,...

Tuliamka asubuhi kukuchagua lakini umetusaliti, Waititu azomewa Githurai

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kiambu Ferdinand Waititu Jumapili alikabiliwa na kibarua kigumu kusalimu umma uliomkemea vikali Githurai 45...