• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:56 PM

LEONARD ONYANGO: Utafiti kuhusu hatari ya Ziwa Victoria usipuuzwe

Na LEONARD ONYANGO MATOKEO ya utafiti yaliyotolewa wiki jana, yanayoonyesha kuwa maji ya Ziwa Victoria yanachangia katika ongezeko la...

AKILIMALI: Ni miaka 40 sasa akishona nyavu za samaki, kazi inayomsomeshea wanawe hadi chuoni

Na WINNIE ONYANDO KUFANIKIWA katika kila jambo ni sharti ujitoe mhanga na uwe mvumilivu. Katika mtaa wa Uyawi kwenye ufuo wa Ziwa...

Onyo kuhusu mafuriko eneo la Ziwa Victoria

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa maeneo yanayokumbwa na hatari ya mafuriko hasa Nyanza na Budalangi na pia eneo la Magharibi mwa Kenya...

Uganda, Tanzania zaonya Wakenya kuhusu Ziwa Victoria

Na ELIZABETH OJINA UHUSIANO wa Kenya na majirani zake umeendelea kuharibika, baada ya Tanzania na Uganda kuungana na kuwaonya wavuvi wa...

Asilimia 92 ya maji ya Ziwa Victoria ni kinyesi na sumu!

Na PAUL WAFULA SAMAKI wanaovuliwa kutoka Ziwa Victoria wana madini ambayo ni sumu kwa mwili wa mwanadamu, uchunguzi wa Taifa Leo...

Hofu Ziwa Victoria likinyakuliwa na wafanyabiashara

NA GEORGE ODIWUOR HOFU imezuka kuhusu hatima ya wavuvi katika Ziwa Victoria, baada ya kubainika kampuni za kibinafsi zimetwaa sehemu...

ODONGO: Heko Raila na Uhuru kwa juhudi zenu kulikomboa Ziwa Victoria

NA CECIL ODONGO HATUA ya viongozi wakuu nchini kulivalia njuga tatizo la miaka nenda miaka rudi la magugumaji katika Ziwa Victoria ni la...

GUGUMAJI ZIWANI: Jukumu la kwanza la Raila AU

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI upinzani Raila Odinga Ijumaa alitekeleza wajibu wake wa kwanza kama Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika (AU)...

Mvuvi Mkenya aogelea kilomita tano kukwepa wanajeshi wa Uganda

GAITANO PESSA Na PETER MBURU MVUVI mmoja wa Kenya amesema kuwa Jumanne aliponea kifo kwa kuruka kutoka meli, kisha kuogelea umbali wa...

Jeshi la Uganda lazidi kuhangaisha Wakenya Ziwa Victoria

RUSHDIE OUDIA, BARACK ODUOR na ELISHA OTIENO TAHARUKI imetanda katika visiwa vilivyo Ziwa Victoria kufuatia kukamatwa kwa wavuvi...

Wanajeshi wa Uganda wazuilia polisi wa Kenya ziwani Victoria

Na RUSHDIE OUDIA WANAJESHI wa Uganda wanawazuilia maafisa wa usalama wa Kenya katika kile kinachoonekana kuwa mzozo wa hivi punde kuhusu...

Hamtakamatwa tena na polisi wa Uganda, serikali yahakikishia wavuvi Ziwa Victoria

Na BARACK ODUOR SERIKALI imewahakikishia wavuvi katika Ziwa Victoria kwamba watapewa ulinzi dhidi ya kuhangaishwa na kukamatwa na...